Namala Namala
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 227
- 127
kwa hiyo kumbe katoliki ni dini dola huko italia na spain pia anglikan ni dini dola kule uingerezaMkuu kwa hili huna data.... Martine hakuwa Askofu, alikuwa Padre na miongoni mwa sababu zilizomuondoa kwenye kanisa Katoliki ni hili la Uaskofu, alipinga hairakia ya Kanisa na vyeo kama Uaskofu, Upapa na mengineyo. Sema tu mengi aliyoyapinga aliishia kuayatenda akiwa kwenye kanisa lake. Mengine ni suala la Useja, hakutaka kabisa kulisikia na alipoondoka aliondoka na Mtawa wa kike aliyeishia kuwa mkewe.
Mambo ni mengi sana na yanahitaji muda wa kutosha. Lakini niseme tu kwamba "siyo kila alilolipinga lilikuwa baya" mengine aliyapinga kihalali kabisa japo njia aliyoitumia haikuhalalisha kitendo chake!!!
Pili, Biblia za wapeotestanti na wapentekoste zina vitabu 66 wakati biblia ya Wakatoliki ina vitabu 72. Hili lilitokana na kuwa baadhi ya yaliyomo kwenye vitabu hivyo (deuterokanoni) vinapingana na mafundisho yao. Sababu nyingi ni za kibinadamu tu!!! Hili lilikuwa rahisi sana kwake kwani suala zima la "Utaifa" liliingizwq kwenye huu mchakato wa Luther kujiondoa kanisa, matokeo yake kwa vile alikuwa Mjerumani, dhehebu lake likawa "dini dora" ya Ujerumani, katika hali kama hii, ni rahisi kwa uwezo wa kifedha kuchapisha Biblia zenye vitabi 66 na kuviondoa vile vingine!!!!
Kweli gani labda..?Mleta mada unatakiwa uokoke ili uijue kwel ya Mungu.
High Church ndugu halina tifauti na Catholic Church...Na Rozari kule tunasali vizuri....Acha uongo wew am Anglican na nimezaliwa na kubatizwa low church na sasa ninasali high church hiyo biblia unayoisema wew haipo
Mtu hawez kwenda kwa baba ila kwa njia yangu.. Yesu anejiweka kuwa mtu wa kwanza kumuona kabla ya kufika kwa baba ni kama receptionist.. Sio koss kumuomba Mungu moja kwa moja,Yesu ni Mungu sawa na Baba na Roho Mtakatifu...Mungu anatuombeaje sasa....??
Kuwa makini, ndio maana Waislam wanawasumbua kuwa Yesu si Mungu....
Yesu ni Mungu sawa na Baba na Roho Mtakatifu...Mungu anatuombeaje sasa....??
Kuwa makini, ndio maana Waislam wanawasumbua kuwa Yesu si Mungu....
Mkuu hiyo rizali unaisali Anglikana? wew jamaa ni muongo sana yani anglikana anasali rozali, shame on you..High Church ndugu halina tifauti na Catholic Church...Na Rozari kule tunasali vizuri....
Low Church walitaka kujifananisha na Lutherans hivyo waka-copy kila kitu kutoka Lutheran
Kama kweli wewe ni Anglican High Church nenda pale Cathedral ya St. Alban posta DSM, then angalia mandhari ya ndani ya Kanisa, kisha Nenda St. Joseph Cathedral posta ungalie uone kama utaona tofauti ....Hakuna tofauti
Ni kuulize, Yesu ni nani..?Mtu hawez kwenda kwa baba ila kwa njia yangu.. Yesu anejiweka kuwa mtu wa kwanza kumuona kabla ya kufika kwa baba ni kama receptionist
Tatizo LA darasa la saba kuzuia pombe na PhD padres kuruhusu watu kunywa pombe nani mwenye uelewa zaidi??? Mfumo wa hilo dhehebu unalolitetea lipo kiutawala zaidi kuliko kiroho. Angalia mfumo wa utendaji wake, watu hawakemewi kwa dhambi zao ili mradi wapowapo tu kwenye u katoliki. Wawe wazinzi, walevi kupindukia, wanywao kidogo ila hawalewi...waendao kwa waganga na mahirizi viunoni ila bora tu waendelee kuwa wakatoliki ni saws. JiongezeKwani kwenye harusi ya kana kinywaji kilipoisha, walimfuata nani ili awaombee kwa Yesu?, tatizo haya makanisa ya kilokole yanayoendeshwa na wachungaji ambao ni darasa la saba wanawapotosha, hawaijui biblia
Mtu hawez kwenda kwa baba ila kwa njia yangu.. Yesu anejiweka kuwa mtu wa kwanza kumuona kabla ya kufika kwa baba ni kama receptionist.. Sio koss kumuomba Mungu moja kwa moja, habari za kumtaka mtu akuombee zilikua enzi hizo ambapo makuhani hiyo ndiyo ilikua kazi yao kwamba mtu wa kawaida alikua hana uwezo wa kupiga magoti na kumuomba Mungu isipokua alipaswa kupeleka sadaka yake kwa kuhani na mahitaji yake kuhani ndio anamuombea, lakiniujio wa Yesu ulivunja vifungo vyote na ndio maana anasema Ombeni nanyi mtapewa halaf anasema ni nani ambae anaweza kumpa nyoka mwanae amuombae samaki.. maana yake ni kuwa sisi ni watoto yeye ni baba haina haja ya kupita pita sijui kwa maria au kwa nani, pray direct yupo aliyepewa jukumu la kutusaidia kuomba ambae ni Roho mtakatifu huyu hutusaidia kuomba maana peke yetu hatuwez kuomba ipasavyo....
Hahahahaha! Duuh yani wewe ni jinga kabisa....Mkuu hiyo rizali unaisali Anglikana? wew jamaa ni muongo sana yani anglikana anasali rozali, shame on you..
Mkuu hiyo rizali unaisali Anglikana? wew jamaa ni muongo sana yani anglikana anasali rozali, shame on you..
Ngoja nikwamvie iko hivi Kanisa Anglikana jimbo la Tanzania imegawanyika katika liw church na high church kulingana na Dayosisi.. Dayosisi ya Dar es salaam ni high iko chini ya Bishop Mokiwa hakuna kitu kama hicho, biblia tunatumia kama wanazotumia wapentecoste, tofaut ya high church na low church ni Namna ya uendeshaji wa ibada kwamba hawa high church wanaendesha kwa kuimba lakin liw church ni kwa kuongea, lakini litrugia ni ile ile.. acha kuudanganya umma tangu lini anglikana ikawa na rozali!!!
Kwa hiyo hiyo ndiye Bikra Maria mwombezi? The Kingdom of God had got no a Queen! Only the King Jesus ndiyo mtawala wa mbingu na nchi mengine yote madoido na hadithi za kuunga unga ili kuiendeleza dini ya wenye nayo.Soma Ufunuo uone jinsi Yohane anapata ufunuo..
"Tazama ishara ikaonekana mbinguni, mwanamke aliyevikwa jua na mwezi chini ya miguu yake na taji ya nyota 12 juu ya kichwa chake"
Aliyekuambia kanisa Katoliki limeongeza vitabu ni nani.. ?kwahiyo unataka kutuambia kwamba unataka kupata legitimacy ya vitabu vya wamakabayo na akina joshua bin sira iliyoongezwa na kanisa katoliki katika Bibilia kwa ajili ya matakwa yao binafsi, badala ya 66 wao wamefanya 72
Unapingana na maandiko?Kwa hiyo hiyo ndiye Bikra Maria mwombezi??? The Kingdom of God had got no a Queen! Only the King Jesus ndiyo mtawala wa mbingu na nchi mengine yote madoido na hadithi za kuunga unga ili kuiendeleza dini ya wenye nayo.
Na ukisoma hivyo VITABU vilivyoondolewa vingine vinafundisha uganga na ni kama hadithi tu...
Mhh kwa hiyo yesu ni mtoto wa maria na Mungu mwana aliyetumwa kuikomboa dunia, maria hawezi kuabudiwa cha ajabu zaidi hadi mnachonga sanamu kwa imani sanamu hiyo ndio Maria au yesu mwenyewe na kuzisujudu,,,..... Ngoja nijaribu kufunga mjadala kwa kusema imani yako ndio itakuponya na si knisa unaloenda kusali kila jumamosi na jumapili au ijumaaLakini Wa kristo ambao siyo wakatoliki kuna swala mnanitatiza sana ivi kwanini mnakua wazito kuutambua mchango Wa mama maria katika ukombozi Wa dunia hii, ivi unawezaje kuumwabudu mwana na ukaacha kumweshimu mama , kuusu mama maria nadhani niwakati Wa maadhehebu mengine ya kikristo kujitazama na kuumpa nafasi katika maisha yao, sikia nikwambie karne zilizo pita mwana mmke alidharauliwa sana na nadhani ndiyo sababu ya madhehebu mengi kutokumpa huyu mama nafasi katika makanisa yao
ukatoliki ni dini iliyokuwepo hata kabla ya Yesu.
walikuwa serikali na makao makuu yao ndio leo ni makao ya kanisa
kuna siri kubwa ndani yao.
Ngoja nikuache maana umeamua kujitoa ufahamu
Yesu hatuombei ila maombi yetu yanapitia kwa yesu, hakuna atakayefika kwa baba yanu bila kupitia kwanguYesu ni Mungu sawa na Baba na Roho Mtakatifu...Mungu anatuombeaje sasa....??
Kuwa makini, ndio maana Waislam wanawasumbua kuwa Yesu si Mungu....
Yesu hatuombei ila maombi yetu yanapitia kwa yesu, hakuna atakayefika kwa baba yanu bila kupitia kwangu