GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Alizaliwa kuwa ni Mfungaji mahiri na siyo Mshambuliaji kama wengi walioko.
2. Amekuwa ni Alama tukuka ya Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania hasa kwa Ushangiliaji wake wenye Mvuto na wa Kibabe ( Kishujaa ) kabisa.
3. Amesaidia kwa 85% kuifanya Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania kuwa na Mvuto na Kufuatiliwa hata na nchi Jirani na nyinginezo nyingi za Afrika
4. Ametuonyesha kwa Vitendo kuwa Tanzania tuna Washambuliaji tu pekee ila hatuna Wafungaji Tukuka kama alivyokuwa Yeye.
5. Nilivutiwa zaidi na aina ya Nidhamu yake ya Kimaisha ( hasa nje ya Uwanja ) iliyokuwa nzuri huku akitumia muda mwingi kwa Kusali tofauti na Wenzake wengi wakigombania Makahaba ( Malaya ) wa Juliana na Beach Kidimbwi wakiongozwa na mpenda Kuvaa Bukta yake Kata K ila mmwaga Maji mzuri kutokea Kulia na Msuka Nywele mwenye Dimba lake.
6. Hakupenda asifiwe Yeye bali isifiwe Timu nzima tofauti na Yule Kigulu wa Simba SC aliyetuvuruga hapa Juzi kati ambaye anapenda Timu ikipata Mafanikio awe anaimbwa Yeye ili Kichwa Kimvimbe na akinywa Bia zake Mikocheni B kwa Warioba na Mbezi Beach Rainbow hadi anaweka Bond Simu yake.
7. Ameiheshimisha Tanzania na Watanzania kuliko hata nchi yake ya Asili ya Congo DR
Ni mwana Simba SC Mwendawazimu ( Mental ) na Mpumbavu ( Moron ) tu ndiyo atashupaza Shingo yake na Kukataa kuwa Mchezaji Fiston Kalala Mayele kwa pamoja alikuwa ni Mshambuliaji na Mfungaji mahiri ambaye huenda ikatuchukua tena Watanzania na Ligi Kuu yetu ya NBC kumpata Mtu kama Yeye japo nakiri kuwa wapo ila uwezo wao ni wa Kawaida ukiulinganisha na alionao Yeye.
GENTAMYCINE nichukue nafasi hii adhimu nikiwa kama Mshabiki lia lia na Kindakindaki wa Simba SC kumtakia Mafanikio makubwa Mchezaji Fiston Kalala Mayele huko aendako Pyramid FC, Mwenyezi Mungu amtangulie na kama Mdau tukuka wa Michezo nasema Asante Kwake na nitamkumbuka mno japo Katunyoosha sana Simba SC yangu kws Kutufunga Magoli yake ya Akili na yasiyo na Shaka kama siyo Ulakini kabisa.