Unakuta Panya hajawahi kuona wala kukutana na Paka tangia azaliwe, lkn siku akimuona tu kwa mara ya kwanza anashtuka na kuogopa sana, kwa nini? Nani kamfundisha kuhusu Paka? ...
Ngoja nikujibu mzee.
Sitaongelea kibailojia sana, ntaongelea ktk Energy na senses. Binadamu na viumbe wengine wana sense zinaweza kuhisi energy hasi, hatari, njema, nzuri au mbaya. Mawazo, hisia, matakwa na vitu vingi vinavyo zalishwa na akili na moyo, Hutuma taarifa ktk ulimwengu kama energy, vibes.
Binadam amevuruga sana sense zake hizi kwa ulaji, uvaaji, ulalaji na mtindo wa maisha kiujumla. Ndio maan ni mara chache sana, hizi hisia zinaibuka na kukuonya juu ya taarifa.
Hapo ndipo utakuta hata Nyoka, umelala naye, kalal kando yako, kwa aman kabisa. Maana hapati ku sense vibes za hatari kutok kwako. Lakin pindi ukiwa ktk taharuki ya kutaka kumdhulu basi naye uhisi hizi vibes na kujihami.
Hawa panya, wakikutana na paka mpumbavu, aliyedhulik na malezi ya kulelewa, Wanaanzishia timbwil vizuri tu, kuna mapanya, yakikutan na paka wa kwaida, anayetoa vibes za uoga, basi panya ana pita vizuri tu.
Pili kwa upande wa macho, kuna namna mnyama anayewinda, utazama. Ndio maan ukikutan na wanyam wakali, ili kujihami, hutakiwa kukwepesha macho, ili asikuone wew ni mwepes mwepes, pale unatoa Lugha ya kuwa, Nami nipo vizuri. Sasa hapo, huyo mnyama hataki kubeti kutest nani atamuwind mwenzie.
Lakin endapo unakutam na mnyama usiye taka mawaa naye kwepesha macho,ndio hapo ktk ufundhshaj wa farasi kuna namna ya uangaliaji, hata mbwa akianza kuleta ukali watakiw kukwepesh macho, kuonyesha huna haja ya kumdhulu.
Hivi wajua hata wew ukiw umekaa mtu akikuangalia sana, hata kam ni usingizin utahisi???
So, utazamaji, na vibes huingea lugha kubwa sana ya kusema mimi ni adui au mim ni rafiki