Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hivi kuna fundi wa penalti?Kante ndo alikuwa hatari kwa leo
Ila pogba bado mzuri hata leo si kwamba alicheza vibaya
Hakufikia tuu kiwango cha sku zote
Pia samatta ifike sehem ajifunze kupiga penalt sasa
HahahaHivi kuna fundi wa penalti?
Kaka inaonekana umepata futari yako vzuriJambo moja kuu, nimegundua wewe si mpenzi wa mpira, hata levo ya ushabiki hujafkia, labda shabiki maandazi mkuu.. Kuna jambo moja usilolijua, yule binadam kuna siku anakuwa katika form kuna siku anapotea, afadhali ungekuwa umemshuhudia kwa mechi hata 5 sasa moja tu unamsimanga, mkuu boli haliendi hvyo...
Jambo la ufaransa kutokucheza vizuri si tatzo lake, mfumo wa 4-3-3 hauko poa kwao unawanyima, muone hata fundi matuidi, mtizame griezman hilo ni tatzo.. Angalia alipoingiza winga kati akabaki matuid na kante ndicho kilichobadili mchezo mkuu tena japo si kwa kiwango kivile. Ni hayo tu mkuu
Hakuna mkuu.. Jambo baya ni kuwaona wachezaji kama malaika, nao wanakosea tu mbona, kuna kauli mtu anakwambia angekuwa messi au cr7pale hakukosi wakat wao wenyewe wanakosea, utofaut ni % ya ukoseaji wengine asilimia chache wengine asilimia kubwa so sitaki kumlaumu sana samata.. Socrates fundi wa penalt kakosa, zidane kakosa, huyo andunje messi na robot ronaldo wamekosa, mchawi gaucho kakosa.. Fundi kichogo henry kakosa, riquelme etc wamekosa.. Kukosea kupo..Hivi kuna fundi wa penalti?
Hahaa... Hapana mkuu hyo futar yenyewe maseke..[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kaka inaonekana umepata futari yako vzuri
Very good comment
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa... Hapana mkuu hyo futar yenyewe maseke..[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ila ki ukweli umeongea ki uana michezo sana pale kakaHahaa... Hapana mkuu hyo futar yenyewe maseke..[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wapi huko mkuu!?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaaah
Umanikumbusha mbali sana mkuu
Mambo ya mseke
Iringa huko enz hzooWapi huko mkuu!?