tamadunimusic
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 551
- 559
Samatta kinachomnyemelea ni kulewa sifa, namhurumia sana...ameshaanza kujiona kuwa amefika...
Nyie ndio wanga wenyewe, kukosa penati ndio tafsiri ya kwamba anajiona kafika? Alikosa penati mess nusu fainali na chelsea, alikosa penati ronado fainali na chelsea uefa, mara kadhaa tumeona kina rooney, aguero, zlatani sembuse samatta?
Samatta now ana mzigo mkubwa wa kisaikolojia kwamba kila mtz anamuangalia yeye alibebe taifa ndomana kuna baadhi ya wachezaji wengine wa ulaya kweny klabu yake anacheza vzr ila kweny team ya taifa anashindwa kuperform ajili ya presha kwamba nchi nzima inamuangalia yeye tu
Samatta ni mchezaji makini na mwenye nidhamu sana ktk mpira ndomana amefika alipo leo na kuna uwezekano akapiga hatua zaidikwakuwa anajitambua na ana malengo yake anayotaka yeye, wachezaji ambao hawajitambui ni km kina ngasa, boban walichezea sana bahati