Kwanini Paul Pogba anasifiwa, mbona hana lolote?

Samatta kinachomnyemelea ni kulewa sifa, namhurumia sana...ameshaanza kujiona kuwa amefika...

Nyie ndio wanga wenyewe, kukosa penati ndio tafsiri ya kwamba anajiona kafika? Alikosa penati mess nusu fainali na chelsea, alikosa penati ronado fainali na chelsea uefa, mara kadhaa tumeona kina rooney, aguero, zlatani sembuse samatta?

Samatta now ana mzigo mkubwa wa kisaikolojia kwamba kila mtz anamuangalia yeye alibebe taifa ndomana kuna baadhi ya wachezaji wengine wa ulaya kweny klabu yake anacheza vzr ila kweny team ya taifa anashindwa kuperform ajili ya presha kwamba nchi nzima inamuangalia yeye tu

Samatta ni mchezaji makini na mwenye nidhamu sana ktk mpira ndomana amefika alipo leo na kuna uwezekano akapiga hatua zaidikwakuwa anajitambua na ana malengo yake anayotaka yeye, wachezaji ambao hawajitambui ni km kina ngasa, boban walichezea sana bahati
 
Umetumia nguvu kubwa kwa hoja nyepesi tu !
 
Nimeangalia game ya France na Romania mpaka dk hii ya 88 na nusu ambapo France inaongoza 2-1 , kiukweli huyu mchezaji anasifiwa bure tu .

Baada ya yeye kutolewa ndio timu ikapata uhai , kwa ufupi ni kwamba alikuwa mzigo kwa timu .

Sasa zile sifa zake zote za kule juventus ilikuwa za uongo ?

Huwez ukamjaj pogba kwa mechi 1 mkuu pogba huo n moto wa kuotea mbali chek videoclip zake youtube utamuelewa2
 
Hata video zangu ukiziona unaweza kushangaa kwanini Hanspope ananiacha ! Hatutaki habari za juzi , tunachotakiwa kuona leo ni performance ya game iliyopo .
 
Nyie ndio wanga wenyewe, kukosa penati ndio tafsiri ya kwamba anajiona kafika? Alikosa penati mess nusu fainali na chelsea, alikosa penati ronado fainali na chelsea uefa, mara kadhaa tumeona kina rooney, aguero, zlatani sembuse samatta?

Samatta now ana mzigo mkubwa wa kisaikolojia kwamba kila mtz anamuangalia yeye alibebe taifa ndomana kuna baadhi ya wachezaji wengine wa ulaya kweny klabu yake anacheza vzr ila kweny team ya taifa anashindwa kuperform ajili ya presha kwamba nchi nzima inamuangalia yeye tu

Samatta ni mchezaji makini na mwenye nidhamu sana ktk mpira ndomana amefika alipo leo na kuna uwezekano akapiga hatua zaidikwakuwa anajitambua na ana malengo yake anayotaka yeye, wachezaji ambao hawajitambui ni km kina ngasa, boban walichezea sana bahati

Nadhani umekurupuka...mimi sijazungumzia suala la penalty hapa...Mimi ni professional katika masuala ya soka, sikurupuki...unamwangalia mchezaji anavyocheza na mambo mengine zaidi ya kupiga penalty...inaelekea wewe ni mshabiki au kwa jina jingine mnazi usiyeelewa psychology ya wachezaji na hasa wa Tanzania...unaenda kuangalia mchezaji basi pasipo kufanya tathimini...siku nyingine usikimbilie kuwaita wenzio wanga, sikupendezwa na neno hilo....Watu kama nyie ndio ambao mnachangia kuwaharibu wachezaji wetu...badala ya kuwapa mawazo na ushauri mzuri kazi yenu kuwasifia tu...kumwambia mchezaji kuwa anajiona amefika ni namna ya kumkosoa ili aendelee zaidi kimchezo...nyie mumekazania kuimba sifa tu kila siku...
 
Huna lolote, we umejibu comment ya mchangiaji ambae mwisho alisema "ifikie hatua mbwana samata nae ajifunze kupiga penati" naww ndo ukatoka huko ulikotoka na kusema jamaa siku hizi analewa sifa, ss kwa namna ulivyoandika pale ndo uliandika ki professional??? Professional ungetolea ufafanuzi comment yako, kwamba analewa sifa kutokana na hiki na hiki ila wewe umekuja kujibu mada ya penati unategemea mtu mwingine aote kwamba huongelei penati, we huna uprofessional wowote na ata unao basi ww ndio uliekurupuka kuandika vile. ila samahani kwa kutumia neno mwanga
 
Duh, nimemuona ktk baadhi ya mechi za cjampions league ni BONGE la mchezaji. Labda mechi hiyo gemu lilikataa tu!
 
Sifa anazomiminiwa huyu mchezaji unaweza kudhani ni wa kiwango cha messi , sasa namna nilivyomfuatilia ( si jana tu ) nimegundua kwamba ni mchezaji wa kawaida sana na ukiangalia kwa makini huwa anapenda sana kucheza na jukwaa ( tabia mbaya ya kiswahili , kama wachezaji wa Faru dume ya manzese ) , kiukweli si kama anavyoongelewa .

Hana tofauti sana na Mwaikimba ; japo yeye anacheza kati .
Angekuwa Arsenal,Chelsea,Man U,Madrid,Barca ungemuona bora,ila kwa kuwa yuko Serie A unaona galasa.Wenye akili tushakusoma wewe ni anti-italia na pia ni anti-negro.Subiri akija kuichezea timu unayoshabikia halafu utayaona yale manjonjo yake ya kudance na jukwaa ni starehe kwako na weusi wake utauona unang'aa ila kwa sasa usimtazame,lazima akuchukize,yaani kila akitupia na kuanza kudance wewe utaona sokwe anadance hadi siku akija huko unakotaka.
Wenye soka yao huko ulaya wamekaa chini na kamati zao za ufundi na wako tayari kumnunua hata kwa euro mil 160 who are you to say that?Hivi wewe na Zizou nani anajua mchezaji mzuri?Wewe na Florentino Perez nani anajua biashara ya soka?Wewe na Deschamps nani anamjua kiungo bora?Wewe na Mino Raiola nani ana enough knowledge to weigh pros and cons za Pogba?Wewe na ultras wa Juve nani anapaswa kukerwa na dansi za Pogba?Ushabiki maandazi shida sana!Unaiponda soka nzima ya dunia bila kujielewa.
 
Nashukuru wadau wengi wameamua kumpuuza pogba na kumshangilia Shujaa mpya Payet .
Hata robo ya Yaya Toure hajafikia , kuna kitu watu wamesahau Alex Ferguson hawezi kumwachia hivihivi tu mchezaji mzuri .
Kwa hiyo akina Beckham,Veron,Stam wote walikuwa si wazuri?Halafu nani alikuambia Ferguson alimwachia Pogba?Hebu kafanye research uone list ya timu zinazomtaka Pogba hivi sasa halafu ujiulize ni vipi timu zote hizo zinamwandama Pogba ila wewe unaona Sokwe anadance singeli.Utaelewa tatizo ni wewe na sio Pogba.
 
Aisee pogba ni best holding midfilder kwa karne hii! Hakuna wa kufanana nae!! Jamaa anajua mbaya!! Waulize madrid 2015 aliwafanyaje kwenye nusu fainali ya UEFA. Usitizame mechi moja tu!! Kumbuka wachezaji timu ya taifa huwa hawajitumi sana. Angalia belgium, kina hazard jinsi wanavyocheza na club zao wanavyokuwa!!
 
Angekuwa Arsenal,Chelsea,Man U,Madrid,Barca ungemuona bora,ila kwa kuwa yuko Serie A unaona galasa.Wenye akili tushakusoma wewe ni anti-italia na pia ni anti-negro.Subiri akija kuichezea timu unayoshabikia halafu utayaona yale manjonjo yake ya kudance na jukwaa ni starehe kwako na weusi wake utauona unang'aa ila kwa sasa usimtazame,lazima akuchukize,yaani kila akitupia na kuanza kudance wewe utaona sokwe anadance hadi siku akija huko unakotaka.
Wenye soka yao huko ulaya wamekaa chini na kamati zao za ufundi na wako tayari kumnunua hata kwa euro mil 160 who are you to say that?Hivi wewe na Zizou nani anajua mchezaji mzuri?Wewe na Florentino Perez nani anajua biashara ya soka?Wewe na Deschamps nani anamjua kiungo bora?Wewe na Mino Raiola nani ana enough knowledge to weigh pros and cons za Pogba?Wewe na ultras wa Juve nani anapaswa kukerwa na dansi za Pogba?Ushabiki maandazi shida sana!Unaiponda soka nzima ya dunia bila kujielewa.
Jazba na Mapovu yako havitaweza kuondoa ukweli niliouweka hapa , maandishi yako marefu sana lakini zaidi ya kutaja majina ya watu sijaona chochote ! Mpira ni uwanjani , nani kasema nini au gazeti hili limeandika nini hizo ni mbwembwe tu .
 
Kwa hiyo akina Beckham,Veron,Stam wote walikuwa si wazuri?Halafu nani alikuambia Ferguson alimwachia Pogba?Hebu kafanye research uone list ya timu zinazomtaka Pogba hivi sasa halafu ujiulize ni vipi timu zote hizo zinamwandama Pogba ila wewe unaona Sokwe anadance singeli.Utaelewa tatizo ni wewe na sio Pogba.
Huna lolote ! Zaidi umejaa hofu iliyochanganyika na jazba na kuchanganyikiwa , hii habari ya sokwe unayorudirudia kuandika humu umeitoa wapi ? Usinilishe maneno ya kijinga .
 
Back
Top Bottom