Kwanini PCM wengi wanaenda commerce na BAF?

Kwanini PCM wengi wanaenda commerce na BAF?

Nafikiri kuna tatizo la washauri mfano mimi nilitaka kwenda engineering baada ya kumaliza PCM lakini kakangu aliyesoma accounting akaniambia huko engineering hakuna kazi (yaani viwanda) na accounting kuna lipa..hatimaye nikaishia kusoma commerce!

Washauri wanabadili talent za watoto wengi sana ...

sawa talent zipo bt mwisho tunaangalia ni vp talent inakulipa.talent inakulipa.kwa bongo bado sana,technology ipo chini.hata mabarabara ni foreigners tu wakati bongo tunawataalam.mbali na hapo hakuna kitu labda usepe nje ikiwa unaiamini hiyo talent yako ktk science.
 
Back
Top Bottom