MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,661 Reaction score 21,656 Mar 9, 2022 #1 Utamsikia mchungaji akisema '' nakutoa hili PEPO baya la umalaya uache dhambi ili ufike PEPONI''. Mida hii ninatoka Nyegezi mida fulani nitakuwa Dom.
Utamsikia mchungaji akisema '' nakutoa hili PEPO baya la umalaya uache dhambi ili ufike PEPONI''. Mida hii ninatoka Nyegezi mida fulani nitakuwa Dom.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 9, 2022 #2 wataalam watakuja kujibu Safari njema
Elvis Legacy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 3,984 Reaction score 5,820 Mar 9, 2022 #3 Ni lugha tu ya kiswahili imekosa msamiati mzuri na kukanganya wanaokikariri hasa wakenya. Pia kiingereza cha zamani 'Roho mtakatifu' alijulikana kama ' Holy Ghost ' kwa sasa ' Holy Spirit '.
Ni lugha tu ya kiswahili imekosa msamiati mzuri na kukanganya wanaokikariri hasa wakenya. Pia kiingereza cha zamani 'Roho mtakatifu' alijulikana kama ' Holy Ghost ' kwa sasa ' Holy Spirit '.
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Mar 9, 2022 #4 Dini zinawadanganya sana