Kwanini pepo ni jitu baya na peponi ni sehemu nzuri?

Kwanini pepo ni jitu baya na peponi ni sehemu nzuri?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Utamsikia mchungaji akisema '' nakutoa hili PEPO baya la umalaya uache dhambi ili ufike PEPONI''.
Mida hii ninatoka Nyegezi mida fulani nitakuwa Dom.
 
wataalam watakuja kujibu

Safari njema
 
Ni lugha tu ya kiswahili imekosa msamiati mzuri na kukanganya wanaokikariri hasa wakenya.

Pia kiingereza cha zamani 'Roho mtakatifu' alijulikana kama ' Holy Ghost ' kwa sasa ' Holy Spirit '.
 
Back
Top Bottom