Kwanini Pepsi imeadimika mtaani? Je chanzo ni umeme, maji na sukari?

Promotion Imepungua Hivyo Na Mauzo Yakashuka Kwa Kasi Maana Kampuni Liliamini Nimefanya Marketing Vyema Kumbe Promotion Inatakiwa Kuendelea Wakati Wote
 
are you tigo or tigo agent
 
yale masharti ya kuwa na tin namba na na nida na business licence vipi bado yapo
 
Hii hali ipo almost kila mwaka miezi kama hii sababu kuu ni hii...
Mwezi wa tatu ndo mwisho wa mwaka wa kampuni, kama kampuni imefikia ile target iliyojiwekea kwa mwaka basi hii miezi ya mwisho wao wa mwaka hupuza uzalishaji kwa kiwango kikubwa sana, kama hawajafikia malengo waliyojiwekea basi ndo watasambaza hadi uchochoroni huko.

Pepsi imekua kama sukari hasa kwa wafanyabiashara ya vinywaji, walaji wa mwisho hali sio mbaya sana kama wafanyabiashara wanaopambana wateja wasikose bidhaa.
 
Jihadharini na utapeli huu. Acha tamaa ndugu yangu Mtanzania, cheap is expensive. Utatapeliwa
 
Sukari imeadimika na ni malighafi muhimu kwenye uandaaji wa kinywaji pendwa PEPSIII

Ukipata chipsi kavu kutoka kwa edooo unashushia na pepsi baridiii mambo ni muruwaaa
Watu wa Mongo la ndege wanakujua kwa Eddo?
Msasani ni kata bora zaidi nchini Tanzania
 
Dah.... umetuonaje lakini?
 
Ngoja tumalize kwanza Stoku iliopo ili tuje na bei mpya utakaoendana mfumuko wa bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…