Mkuu nadhani wamekuelewa wanachama, wapenzi na mashabiki wa Simba amabo wana dukuduku kuwa hela zao zimeliwa. Kwa haya yanayotokea ningekuwa Mo ningeitisha mchango wa usajili wa wachezaji.
Sasa kama pesa zinatoka account ya mtu mwingine, mauzo ya mchezaji pesa zinaingizwa account ya mtu mwingine, wale wakaguzi wa nyaraka za kifedha wakija wanakagua nyaraka zipi?Mimi ni mshabiki wa yanga lkn we ni chizi.....
nani anatoa hela za usajili kuboresha club!!!??
huyo huyo ndio apokee pesa wakati wa mauzo
Ungetaja jina la akaunti, namba ya akaunti na benki ambayo hiyo fedha imewekwa. Ingekuwa vizuri zaidi ungeonyesha na muamala wa hiyo depositMkuu hapa tunaongelea public terms na sio personal terms, Simba SC ni public team with an investor of its 49% shares. Na share Kubwa inayobaki ipo kwetu wanachama wa timu na kwann sasa awe na nguvu kuliko sisi wanachama tulio na nguvu, Tutakuja kujutia na hii timu yetu siku moja wanasimba, Tuamkeee
Sasa naamin kwanini watanzania wengi hatuna ubunifu kwenye maisha.. sababu ni wavivu wa kufikir.. na kutafuta ukweli tunapenda sana kujadili umbea bila kutafuta credibility ya taarifa husika
Labda mniambie kuna taarifa ingine imetoka sijaiona, ila kama haya yote yanatokana na Mahojiano ya Magori na EFM. mie nimesikia akisema yafuatayo
aliulizwa swali la mtego na yule mtangazaji kama
ifuatavyo
Mtangazaji kauliza:-
"Mnasema Simba misimu ya nyuma imekuwa ikipata hasara. na sasa zipo taarifa mmeuza wachezaji kwa pesa nyingi mfano chama kauzwa 1.2b. na wachezaji wote waliosajiliwa na Simba had sasa manunuz inasemekana hayajazid 1.2b.. maana yake pesa ya Miq itakuwa faida au sio?"
Magori: Kajibu
"Kwanza mjue fedha yote usajili wa sasa hv haijatokana na mauzo ya wachezaj hawa maana kwenye mauzo ya wachezaj pesa zinalipwa kwa installments.. club huwa inasema italipa mara ngap na katika vipindi vingap.. kwa sasa bado simba hawajapokea kiasi chochote kile, hata installment ya kwanza kutoka club hiz.. maana kuna makubaliano.. kwa hiyo pesa ya usajili wa sasa ilishakuwepo kwenye Bajet wala sio hii..
kwa kuongezea walau Miq tulipokea ombi lake kutoka club inayomtaka miez 3 kabla so tulishajiandaa kisaikolojia kutafuta mbadala, Kwa
chama ni hivi karibuni tu ndo maombi yamekuja"
Sasa wabongo ambao hamtak kujishughulisha kuhoji kuwa taarifa za Simba fedha kuingia kwenye account binafsi zinatoka wap mnabaki kuwatukana maskin viongoz wa watu hebu jitafakarini
hivi mnajua maswala ya malipo ya fedha kimataifa baina ya nchi na nchi?.. yaan mngejua huonutaratibu ulivyo complex kuweza kuhalalisha pesa ziingizwe kwenye account binafsi ili hali mauziano yanahudiana kati club na club wala msingepiga kelele humu
Kama MO anahitaj kuchukua hizo pesa ni rahs kwake kuzichukulia zikiwa account ya Simba maana naamin yeye ni mmoja wa signatory kuliko zilipwe direct kwenye Account yake..
Hebu jitafakarini yule Sio mdhamin sasa hivi ni sehem ya Uongoz wa Simba so Ana manage account zote hana sababu ya pesa ziingie direct kwenye account yake wakat anaweza akazipangia matumiz anavyotaka zikiwa tayar kwenye account ya Simba
Hata kama mkisema some how kuwa ana makubaliano na Simba ya kujilipa hizo pesa sababu alimnunua yeye.. ni lazima ziingie kwenye acc ya Simba then ndo Simba itoe hizo pesa kwenda kwa MO kama malipo sio Zije direct kwenye account yake..
na hivi mnajua hizi pesa ni lazima ziwe na uangaliz wa BOT.. transaction kubwa kama hiyo lazima BOT wawe wanamonitor hv mnajua kuna KODI ya Serikali hapo, sasa niambie hiyo Kodi kwenye makaratasi itasomekaje ikiwa Simba hakitakuwa na record wao kupokea hayo Malipo.
Nafikir Elimu inatakiwa itolewe kwa wa wabongo sasa hv hiz club zinaendeshwaje.. bado tunaamin mfumo ni ule wa kina Manji au Azim Dewji
Wivu tu unawasumbua yanga. Mnaanza mapema hivi kulalamika.Simba mmelogwa na Mo
Ukubwa hela sio tantalila , "shikamoo kelele heshima pesa".Mkuu hapa tunaongelea public terms na sio personal terms, Simba SC ni public team with an investor of its 49% shares. Na share Kubwa inayobaki ipo kwetu wanachama wa timu na kwann sasa awe na nguvu kuliko sisi wanachama tulio na nguvu, Tutakuja kujutia na hii timu yetu siku moja wanasimba, Tuamkeee
Unasema umepigwa umeweka nn kushinda 49%Huo ushindi siku ukigonga mwamba, ndo tutakuja kushtuka na tutakuwa tumechelewa na kupigwa sana pale Simba, tuamke wanasimba Tunapigwaaaa
She comes from a wealth family kwanza taambua hilo ndugu yangu sio kina Ashura ndala ndefu.Na yule Barbra akirudi kwao atakuwa ni bilionea kwasababu ya hizi Pesa zetu za simba
Watanzania wengi dhana ya biashara ni sifuri, ujuaji mwingi sheria hiyo umeipata wapi, mbona hauzi wafanyakazi kule mohamedi enterprises? Mo anamiliki simba peke yake? Hivi hujui akikuwa akisajili msimuulize 20bn yenu?Mimi ni mshabiki wa yanga lkn we ni chizi.....
nani anatoa hela za usajili kuboresha club!!!??
huyo huyo ndio apokee pesa wakati wa mauzo
Hiyo ndo kauli anatumia kupiga pesa pale unyamani coz simba yenyewe tu ni brand kubwa ambayo thamani yake ni zaidi hata ya Pesa aliyosema kainvest.Unasema umepigwa umeweka nn kushinda 49%
From wealth family Ndo uibe Pesa za wanasimbaShe comes from a wealth family kwanza taambua hilo ndugu yangu sio kina Ashura ndala ndefu.
Aisee sisi WATZ aliye turoga amesha kufa kwa kweli tunahitaji maombi makubwa sn ili tutoke kwenye uzuzu otherwise huko mbeleni ni shida tupu.From wealth family Ndo uibe Pesa za wanasimba
Wanasimba tuamke simba yetu inadhalilishwa na matapeli wanaojiita wawekezaji.
Kwa kuwa simba ni timu ya umma sio mali ya mtu binafsi km mwekezaji anavyojaribu kuwahadaa mashabiki mbumbumbu. Ni kwamba pesa za wachezaji wa simba waliouzwa pesa zimeyeyuka wanaocheza na hii dili ni huyu tapeli anayejiita mwekezaji pamoja na try again.
TAKUKURU mpo wapi timu yetu inachezewa na Hawa wahuni nyie mmekaa kimya? mchukueni tupumue jamani ametuibia ataifilisi klabu akimbie nje ya nchi huyu mtu ni hatari kuendelea kukaa simba.
Tunataarfa nyingi za ubadhirifu wa pesa za klabu tukianza na hii ya pesa za mauzo ya wachezaji kupotezwa na matapeli wanaojiita wawekezaji
Mbona kabla yake hatukuona hiyo thamani unayosema leoHiyo ndo kauli anatumia kupiga pesa pale unyamani coz simba yenyewe tu ni brand kubwa ambayo thamani yake ni zaidi hata ya Pesa aliyosema kainvest.
Ushawahi kujiuliza kwann alishindwa kuwekeza pale African lyon, pamoja na pesa aliyonayo au kule Singida United timu ya kwao na ndio alikuwa mbunge kule.
Ukipata jibu, utakuwa umetambua namna anavyo iba pesa za kutosha bila mbumbumbu kutambua hilo
Mimi ni mjumbe tu
Simba Ishawahi pata mafanikio makubwa hata kabla yake ikiwemo kufika hadi nusu fainali ya CAFMbona kabla yake hatukuona hiyo thamani unayosema leo