Kwanini pesa za mauzo ya wachezaji wa simba zinaingia kwenye account ya mtu binafsi?

Na iwe basi hata ikiwekwa kwa mtu binafsi mchezaji atakuwa mali ya timu.
Haulazimishwi kutoa Pesa yako kuisaidia timu hayo ni mapenzi yako,lakini ukisha mnunua ni Mali ya timu kama unataka iwe Mali yako tafuta timu yako
 
Hivi wewe manara si ulishaambiwa ukiachwa achika? kwani fedha za kuwanunua ulihoji zimetoka kwenye akaunti ya nani?
 
Haulazimishwi kutoa Pesa yako kuisaidia timu hayo ni mapenzi yako,lakini ukisha mnunua ni Mali ya timu kama unataka iwe Mali yako tafuta timu yako
Alisikika masikini mmoja akimlalamikia tajiri
 
Hata kama account ya Mo ndio inayotoa pesa za usajili,wana Simba wana haki ya kuuliza kinachoingia,wana haki ya kujua mapato na matumizi ni muhimu.
Hiyo Ni Kama unawapigia mbuzi gitaa, hawatakaa wakuelewe Sana Sana utaambulia mitusi tu.
 
Umeona wapi wewe uto?
 
Wewe umechangia sh ngapi Simba!?
 
Na kwanini pesa za manunuzi ya wachezaji zinatoka kwenye account ya mtu binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…