Retired Analyst
Senior Member
- Apr 7, 2025
- 138
- 244
Why are you saying this bro??Uchawi hauendi kwa mentali
Taasisi za elimu ziachane na msuala ya kidini kwa maana hayana tija hata kidogo.Kuna watu watafunguka kwamba hayo magonjwa anayohangaika kuombewa na wachungaji matapeli kumbe yana dawa
Maana yake mambo ya ushirikina hayana ukweli ndio maana yanafichwa gizani... Yakiletwa nuruni/ kwenye hisabati na sayansi ikili itayatambua kuwa ya hovyo.Why are you saying this bro??
Ndio maana ninakereka sana nikiona dini zinafundishwa katika taasisi za elimuMaana yake mambo ya ushirikina hayana ukweli ndio maana yanafichwa gizani... Yakiletwa nuruni/ kwenye hisabati na sayansi ikili itayatambua kuwa ya hovyo.
Sayansi, hisabati na kemia vinaruhusu uchunguzi ila huku kwenye imani unapaswa kwenda bila milango ya fahamu
Imani ni jambo binafsiElezea vizuri, Kuna ubaya gani watu wakijifunza hizo dini. Maana almost kila mtu ana dini yake na anaruhusiwa kuhudhuria kulingana na imani yake.
Kwani ikifundishwa katika taasisi za dini haitoshi?? Kuwafundisha watoto dini mashuleni ni sawa na kuwakumbusha tofauti zao ambazo walikwishaziacha majumbani mwao.Elezea vizuri, Kuna ubaya gani watu wakijifunza hizo dini. Maana almost kila mtu ana dini yake na anaruhusiwa kuhudhuria kulingana na imani yake.
Hiyo title ya mada hii ina maana kila taasisi ibaki na jukumu lake la msingi.Kutokana na masaa waliyonayo,
Shuleni wanasoma siku tano kila siku anasoma masaa yasiyopungua nane ila kwenye dini anaenda jumamosi na jumapili anasoma masaa manne mpaka tano, na basic teaching ya mafunzo ya dini ni moral code, ethics na historia ya main figure kwenye dini husika, sasa unategemea hayo masaa manne waanze kuwafundisha electrolysis wakati anaweza kufundishwa shule
Toa shule za Katoliki hapo hawana mchezo kwenye masomo ya SayansiKwanini taasisi za elimu (shule za Primary na Secondary) zinajipa majukumu ya kidini?? Mbona taasisi za kidini (makanisa na misikiti) hazijipi majukumu ya kitaaluma (academia)
L
Hamia nchi isiyo na vipindi vya dini mashuleni. Ficha upumbavu wakoKwanini taasisi za elimu (shule za Primary na Secondary) zinajipa majukumu ya kidini?? Mbona taasisi za kidini (makanisa na misikiti) hazijipi majukumu ya kitaaluma (academia)
Watoto wanatoka majumbani mwao walijua wao ni wamoja.
Watoto wanafika shule na kukaa assembly point wakijua wao ni wamoja.
Watoto wanaenda mapumziko wakijua wao ni wamoja na kwa pamoja wanachangishana pesa na kununua chipsi dume (Mihogo)
Watoto wanacheza wote soccer, netboll na rede wakijua wote ni wamoja.
Watoto wanafagia uwanja wakiwa wote ni wamoja.
Alafu inafika saa sita mchana igongwa kengele ya kuwaambia kuwa licha ya kushirikiana katika yote kuanzia kitembea pamoja kuja shule na kula wote Mihogo mapumziko, nyie sio wamoja bali nyie ni waislamu na wakristo.
Guys, this is nonsense ujue.
Hivi ni kitu gani huwa kinafujdishwa katika hizo so-called vipindi vya dini katika taasisi za elimu ambavyo havijafundishwa ama havijafundishwa katika misikiti Ijumaa iliyopita au Jumapili/Jumamosi ijayo.
Hii nchi Ina Policy and dicisions makers wa hovyo sana.
Ni wapi nimetaja shule ya katoliki??Toa shule za Katoliki hapo hawana mchezo kwenye masomo ya Sayansi
Shule zao zote za katoliki sekondari kusoma masomo ya sayansi O level sio hiari ni lazims utake usitake
Kina nani wanaolipa hizo kodi? Asilimia kubwa ya walipa kodi nchi hii ni hao wenye dini, so hao walipa kodi waliwahi sema wapi hawataki watoto wao wasifundishwe dini? Ama sasa hivi umeijua twitter na fb ghafla na wewe umekua Metl na Bakhresa?Imani ni jambo binafsi
Halikuhitaji kufundishwa kwa gharama ya Kodi zetu.
Jenga shule yako binafsi toa vipi Di vya dini, Shule za Serikali zinahudumia watanzania na watanzania ndio wanaochangia serikali, na serikali inapaswa kutimiza matakwa ya Watanzania, Watanzania wana dini na wanataka Watoto wao wawe na maadili.Kwanini taasisi za elimu (shule za Primary na Secondary) zinajipa majukumu ya kidini?? Mbona taasisi za kidini (makanisa na misikiti) hazijipi majukumu ya kitaaluma (academia)