Kwanini Physics na Chemistry hazifundishwi makanisani na misikitini??

Kwanini Physics na Chemistry hazifundishwi makanisani na misikitini??

Hawatengwi, unaenda kuabudu kulingana na imani yako. Wala hulazimishwi uende wapi. Hao wa mizimu hawatambulikani. Si unajua serikali haiamini uchawi.
Mkuu, kwani Madrasa na Sunday school hazitoi elimu ya kutosha??
 
Ndio maana ninakereka sana nikiona dini zinafundishwa katika taasisi za elimu
kama ulikuwepo kuna muda shule fulani Hadi kero watoto wanapiga mziki dini wanaspika kubwa hatari huku mmetokq kwenye prac ya kemia na wengi wao hajawaelewa kabisa wanaenda kujifariji kwenye dini badala ya kuumiza vichwa kwann data fulani hawajaipata vizuri
 
Ni upuuzi sana mkuu
 
DIni ni kiwanda cha kuzalisha binadamu wasiweza kufikiri nje ya box, na njia rahisi ya kutawala watu ni kuwafumba wasiweze kufikiri nje ya box kwa kuwakaririsha stori za akina abunuani muhammad na yesu, hii huwajengea watoto hofu hata ya kuhoji vitu vidogo vidogo
Hakika mkuu
 
Yes mkuu. I do agree with you for 100%. We need to accept our differences but not unnecessarily reminding them to our children kwa maana hakunamtu rahisi kum corrupt akili kama mtoto mdogo.
Kwahio kuwafundisha dini zao ni kuwa corrupt ? Tunawafundisha mising ya dini na bad wanatoka mashoga, je tukiwa acha ? Me nadhan ni kitu kizuri. Kwasbab dini hazifundishi but moral, which is good by the way
 
SI umeona jana mlivyopigwa na polisi kisa makundi yenu ya siasa , sasa hiyo ndiyo dunia ..Kuna wale wanagawanywe ikifika form 2 ; kuna mkondo wa Arts , science na Business . Mkiwa Arts nao kuna makundi ndani yake , mkiwa sayansi vile bado mtadharauliana mimlele .
 
Back
Top Bottom