Kwanini Physics na Chemistry hazifundishwi makanisani na misikitini??

We are one, but we must accept our differences
 
Physics na chemistry ingekuwa inafundishwa misikitini waislam wangekuwa mbali sana. Hayo ni mambo ya imani hayachanganyiki na sayansi. Kule kwetu unaambiwa ya kaisari apewe kaisari na ya Mungu apewe Mungu
Kama imani haichanganywi na sayansi, kwanini imani inapelekwa kwenye taasisi za elimu??
 
Jenga shule yako binafsi toa vipi Di vya dini, Shule za Serikali zinahudumia watanzania na watanzania ndio wanaochangia serikali, na serikali inapaswa kutimiza matakwa ya Watanzania, Watanzania wana dini na wanataka Watoto wao wawe na maadili.
Mpuuzi mmoja wewe
 
Physics na chemistry ingekuwa inafundishwa misikitini waislam wangekuwa mbali sana. Hayo ni mambo ya imani hayachanganyiki na sayansi. Kule kwetu unaambiwa ya kaisari apewe kaisari na ya Mungu apewe Mungu
Chemistry ni neno la kiisilamu, isingekua sio uisilamu Chemistry ya leo unayoiona nayo isingekuwepo. Ndio maana terms nyingi za Chemistry kama Alcohol, Alchemy, alkaline etc zinaanziwa na neno Al kuonesha root zake toka lugha ya kiarabu.

Same kwenye mathematics na phyiscs, root kabisa za hesabu ni Persia, kwa Al Khawarizm ambaye mchango wange kwenye Algebra, Algorithm, quadrant, linear equation, Trigonemetrics etc. Pia kahusika na Longitude, latitude na Astronomy kwa ujumla.
 
We are one, but we must accept our differences
Yes mkuu. I do agree with you for 100%. We need to accept our differences but not unnecessarily reminding them to our children kwa maana hakunamtu rahisi kum corrupt akili kama mtoto mdogo.
 
Kwani ikifundishwa katika taasisi za dini haitoshi?? Kuwafundisha watoto dini mashuleni ni sawa na kuwakumbusha tofauti zao ambazo walikwishaziacha majumbani mwao.
Una complicate mambo tu. Hakuna ubaya wowote, ndio maana mpaka leo huo unaoita umoja bado upo.
 
Hii segment ndogo tu inaonesha ni Kwa jinsi gani ulivyo mpumbavu. Jinga kabisa wewe.

Watoto wanajengewa ukuta wa Uislam na Ukristo na wewe unapigwa chapuo tu kama boya.
Kazi ya serikali ni kuhudumia wananchi, sisi ndio wananchi, Tanzania ni Nchi ya kiisilamu na kikristo, Serikali isipofundiaha hayo ifundishe nini? Umalaya na ushoga?
 
uislamu au kiarabu
 
Facilities zinazotumika ni za nani?? Muda wa watoto?? Si afadhali wafundishwe maadili mema au mazoezi mepesi ya viungo.
kwani zikitumika kwa ajili ya dini kuna ubaya gani? au huwa zinachakaa kwa kasi zaidi watoto wakijifunza dini?
Hapo inafanyika effective utilisation
 
kwani zikitumika kwa ajili ya dini kuna ubaya gani? au huwa zinachakaa kwa kasi zaidi watoto wakijifunza dini?
Hapo inafanyika effective utilisation
Kwanini watoto wanatengwa ilhali walikwisha sahau kama wao ni wakristo na waislamu??

Wanao amini katika mizimu na dini za asili wataabudia wapi??
 
Kwanini watoto wanatengwa ilhali walikwisha sahau kama wao ni wakristo na waislamu??

Wanao amini katika mizimu na dini za asili wataabudia wapi??
Hawatengwi, unaenda kuabudu kulingana na imani yako. Wala hulazimishwi uende wapi. Hao wa mizimu hawatambulikani. Si unajua serikali haiamini uchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…