Retired Analyst
Senior Member
- Apr 7, 2025
- 138
- 244
- Thread starter
-
- #41
Mkuu, kwani Madrasa na Sunday school hazitoi elimu ya kutosha??Hawatengwi, unaenda kuabudu kulingana na imani yako. Wala hulazimishwi uende wapi. Hao wa mizimu hawatambulikani. Si unajua serikali haiamini uchawi.
kama ulikuwepo kuna muda shule fulani Hadi kero watoto wanapiga mziki dini wanaspika kubwa hatari huku mmetokq kwenye prac ya kemia na wengi wao hajawaelewa kabisa wanaenda kujifariji kwenye dini badala ya kuumiza vichwa kwann data fulani hawajaipata vizuriNdio maana ninakereka sana nikiona dini zinafundishwa katika taasisi za elimu
Ni upuuzi sana mkuukama ulikuwepo kuna muda shule fulani Hadi kero watoto wanapiga mziki dini wanaspika kubwa hatari huku mmetokq kwenye prac ya kemia na wengi wao hajawaelewa kabisa wanaenda kujifariji kwenye dini badala ya kuumiza vichwa kwann data fulani hawajaipata vizuri
Hakika mkuuDIni ni kiwanda cha kuzalisha binadamu wasiweza kufikiri nje ya box, na njia rahisi ya kutawala watu ni kuwafumba wasiweze kufikiri nje ya box kwa kuwakaririsha stori za akina abunuani muhammad na yesu, hii huwajengea watoto hofu hata ya kuhoji vitu vidogo vidogo
Kwahio kuwafundisha dini zao ni kuwa corrupt ? Tunawafundisha mising ya dini na bad wanatoka mashoga, je tukiwa acha ? Me nadhan ni kitu kizuri. Kwasbab dini hazifundishi but moral, which is good by the wayYes mkuu. I do agree with you for 100%. We need to accept our differences but not unnecessarily reminding them to our children kwa maana hakunamtu rahisi kum corrupt akili kama mtoto mdogo.
Tena saana mkuu wangu