Swali kuu:Zinatoka wapi na kwa nini zinauzwa burebure?Mitandaoni na hata mitaani pikipiki zilizotumika (used) za aina ya Boxer zinaongoza sana kuuzwa.
Nimekuwa nikitafakari na kujiuliza kwa nini Pikipiki za Boxer used zinauzwa kwa wingi?
Sababu ni nini hasa ukilinganisha na pikipiki nyingine ..
Duh, kwa nini asifanye kazi pikipiki ikiwa yake? Si ndiyo ataingiza kipato zaidi kuliko ya marejesho kila siku!?Hizo nyingi ni pikipiki za mikataba, mara nyingi vijana huwa wanauza wanapewa nyingine na boss wake.
Mkataba wa miezi 13 mfano, ukiisha pikipiki ni Yako, Sasa wengi huamua kuuza na kuchukua mkataba mpya aendelee kuipeleka hesabu.
wengi chombo kikichoka hukoswa pesa ya kukilekebisha chombo.Duh, kwa nini asifanye kazi pikipiki ikiwa yake? Si ndiyo ataingiza kipato zaidi kuliko ya marejesho kila siku!?
Hiyo hela ya kupeleka mahesabu si angeweka kama akiba yake kama chombo ni chake, amemilikishwa?
Kweli kabisa. Kuna jamaa alikuwa nazo kadhaa. Ila baada ya kuona mizinguo ya vijana kwenye kuleta hesabu akazitia zote sokoni. Hakutaka kabisa kupigizana kelele.Moja ya sababu ni vijana wapumbavu wanamaliza mikataba, wanapewa kadi wanaiuza wanaenda kubetia na kulombea....Alafu wanaomba tena mkataba anapewa mpya kwa boss ....
sababu nyingine vijana si waaaminifu kupeleka hesabu, boss anaamua kuuza walau akoe nusu hasara!
Sasa hivi kuna CC 200 umeme, hauishikiPikipiki za kazi hasa mijini kama Dar halafu boksa Value for money siku hizi haipo, kidogo tu imechoka haitaki purukushani kabisa, jingine ni mambo ya mifumo ya mjini kama ilivyo kawaida TZ....Kuna pikipiki zile Sinoray sasa hivi ndo zinatumika mipakani kubeba Mali, wanaziita "Sina roho" AKA "kifupa" ukidondoka nayo Tu jua ni maiti, CC 180.
Mi nadhani wewe umejibu sahihi kabisa.Hizo nyingi ni pikipiki za mikataba, mara nyingi vijana huwa wanauza wanapewa nyingine na boss wake.
A
Mkataba wa miezi 13 mfano, ukiisha pikipiki ni Yako, Sasa wengi huamua kuuza na kuchukua mkataba mpya aendelee kuipeleka hesabu.
Wapi wanaofanya hivyo,Duh, kwa nini asifanye kazi pikipiki ikiwa yake? Si ndiyo ataingiza kipato zaidi kuliko ya marejesho kila siku!?
Hiyo hela ya kupeleka mahesabu si angeweka kama akiba yake kama chombo ni chake, amemilikishwa?
Kweli kabisa. Kuna jamaa alikuwa nazo kadhaa. Ila baada ya kuona mizinguo ya vijana kwenye kuleta hesabu akazitia zote sokoni. Hakutaka kabisa kupigizana kelele.
roho mkononi, yaan CC kubwa, afu usalama wa mwendeshaj haujazingatiwa kivile, tukianza na helmentSasa hivi kuna CC 200 umeme, hauishiki
Basi ni balaa, na akili za baadhi ya vijana watakuwa wanakimbiza Sana Mali haramu.Sasa hivi kuna CC 200 umeme, hauishiki