lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Wakuu,
Tujuzane hapa kwa nini pikipiki au baiskeli zina uwezo mkubwa wa kutembea kwa matairi mawili tu tena wakati huo inakua imebeba watu wa 2 mpaka wa 3 na haianguki. Kuna physics au mathematics gani imekua applied hapa? Na kwa nini gari lisingekua linatembea kwa matairi mawili tu kama pikipiki?
Jamani wataalam tujuzeni hapa ni uchawi gani umetumika.