Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hiyo ya juu sio photo shop?
lukelo sakafu mzee wa mathread. ....
- Yawezeka ikawa ni photoshop
- Vipi hii hapa chini ?
![]()
![]()
wakuu tujuzane hapa kwa nini pikipiki au baiskeli zina uwezo mkubwa wa kutembea kwa matairi mawili tu tena wakati huo inakua imebeba watu wa 2 mpaka wa 3 na haianguki,kuna physics au mathematics gani imekua applied hapa? na kwa nini gari lisingekua linatembea kwa matairi mawili tu kama pikipiki? jamani wataalam tujuzeni hapa ni uchawi gani umetumika.
ondoa utoto wako peleka facebookwakuu tujuzane hapa kwa nini pikipiki au baiskeli zina uwezo mkubwa wa kutembea kwa matairi mawili tu tena wakati huo inakua imebeba watu wa 2 mpaka wa 3 na haianguki,kuna physics au mathematics gani imekua applied hapa? na kwa nini gari lisingekua linatembea kwa matairi mawili tu kama pikipiki? jamani wataalam tujuzeni hapa ni uchawi gani umetumika.
ondoa utoto wako peleka facebook