lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
brain, body n weight proportionalities control
Wengine wanatumia ungo kabisa! uliza balance wanaipata wapi,??????
hilo dogo engine inakula mafuta tu ukiweka maji inazima inajuaje still inatema oil chafu
pikipiki na baiskeli hazina jumba tofauti na gari inavikwa jumba(inakuwa na jumba)
Kuna Pikipiki za tairi mojaKuna wako wanaendesha za tairi moja tu, pia kuna wako ambao wanatumia tairi ya nyuma tu.
Brain, body n weight proportionalities control
Kuna Pikipiki za tairi moja
Na baiskeli Pia