Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Je Pogba ni mchezaji wa kawaida? Maana sifa ya mchezaji mkubwa lazma upambane na kuonyesha uwezo kwenye mechi kubwa. Ninii huwa kinamfanya Pogba apotee na kushindwa kung'aa kwenye mechi kubwa kama ya leo dhidi ya Spurs?