Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pogba hakupotea, yeye alicheza kwa kadri alivyoweza ila wapinzani wa MAN U ilikua siku yao Jana, wali utawala mchezo wakicheza ki timu zaidi na bahati ilikua upande wao. Pogba alivyo toka MAN U ilikufa kabisa.Pogba bado anabaki kua kiungo bora kabisa wa ushambuliaji kwa sasa katika EPL na UEFA kwa ujumla. Kufungwa kwa MAN U hakupunguzi ubora wake.
DuuuhCyo kapotea huyo anazingua toka sanchez afike kama vp akae bench timu inakosa morali kabsa
63 min Pogba loses possession deep inside the Newcastle half
65 min GOAL! Newcastle United 1-0 Manchester United
66 min Off go Pogba and Lingard; on come Carrick and Mata.
67 min On the United bench, Pogba looks about to cry.
Au wewe unamzungumzia Pogba yupi?
Cyo kapotea huyo anazingua toka sanchez afike kama vp akae bench timu inakosa morali kabsa