Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
usimfananishe Ramadhani Chombo Fundi Redondo na upuuzi wa PogbaHuyo ni average player hanatofauti na ramadhani chombo redondo
Hahahahaa umemsahau P100Pogba ndio nani?
Mkuu umenena vyema sana!usimfananishe Ramadhani Chombo Fundi Redondo na upuuzi wa Pogba
HATUBUPogba ndio nani?
Duuuh!! Kuliko KDB?achilia mbali wa La liga,BundesligaPogba hakupotea, yeye alicheza kwa kadri alivyoweza ila wapinzani wa MAN U ilikua siku yao Jana, wali utawala mchezo wakicheza ki timu zaidi na bahati ilikua upande wao. Pogba alivyo toka MAN U ilikufa kabisa.Pogba bado anabaki kua kiungo bora kabisa wa ushambuliaji kwa sasa katika EPL na UEFA kwa ujumla. Kufungwa kwa MAN U hakupunguzi ubora wake.
aisee, jana wapuuzi wamenichania hawa,Je Pogba ni mchezaji wa kawaida? Maana sifa ya mchezaji mkubwa lazma upambane na kuonyesha uwezo kwenye mechi kubwa. Ninii huwa kinamfanya Pogba apotee na kushindwa kung'aa kwenye mechi kubwa kama ya leo dhidi ya Spurs?
Pogba hakupotea, yeye alicheza kwa kadri alivyoweza ila wapinzani wa MAN U ilikua siku yao Jana, wali utawala mchezo wakicheza ki timu zaidi na bahati ilikua upande wao. Pogba alivyo toka MAN U ilikufa kabisa.Pogba bado anabaki kua kiungo bora kabisa wa ushambuliaji kwa sasa katika EPL na UEFA kwa ujumla. Kufungwa kwa MAN U hakupunguzi ubora wake.
Ebu isome vizur post ya jamaaaAcha bangi mdogo wangu :Man U walitawala mpira ???. Au una tv yako mwenyewe