Kwanini Polepole asirudi chama chake cha asili (CHADEMA) na Bashiru (CUF)? Naona kama CCM kimewakataa kiufundi

Kwanini Polepole asirudi chama chake cha asili (CHADEMA) na Bashiru (CUF)? Naona kama CCM kimewakataa kiufundi

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Polepole ni mwana CHADEMA mzuri na hajawahi kurudisha kadi yake, Bashiru ni mwana CUF kindakindaki.

Wenye CCM ni kama hawawataki, kwanini wasiondoke?

Sasa Chenge aliyekatwa na Bashiru na Polepole ndio anakuwa spika. Vifaranga wa bata (Polepole na Bashiru), hawawezi kukaa na vifaranga wa kuku
 
Hata wasirudi wabaki huko huko au waanzishe chama chao au wastaafu siasa. Wameuonyeshea umma wa wa watanzania wao ni wanasiasa matumbo.

Enzi ya jpm yalifanyika mazuri mengi lakini madhaifu machache yaliofanyika enzi zile walikaaa kimya na pale ilipoonekana ukiukaji wa sheria na katiba. Cha ajabu leo wanaonekana wanaharakati baada ya kunyimwa ugali wamesahau CCM ni chama cha kusifia tuuuuuu hata mkubwa akoseee vipi
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mama kakutana na ndungai privately 😀, Kabudi na Lukuvi wamevutwa Ikulu , Totally pole pole kabaki Yatima
Katika mazingira haya ndio kujua hujui, na mshauri aendelee kuikuza tuition center take mwisho itakuwa shule kamili.
 
Polepole ni mwanachadema mzuri na hajawahi kurudisha kadi yake, Bashiru ni mwana CUF kindakindaki.

Wenye CCM ni kama hawawataki, kwa nini wasiondoke?

Sasa Chenge aliyekatwa na Bashiru na Polepole ndio anakuwa spika. Vifaranga wa bata(Polepole na Bashiru), hawawezi kukaa na vifaranga wa Kuku
Of course waondoke

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Polepole ni mwana CHADEMA mzuri na hajawahi kurudisha kadi yake, Bashiru ni mwana CUF kindakindaki.

Wenye CCM ni kama hawawataki, kwanini wasiondoke?

Sasa Chenge aliyekatwa na Bashiru na Polepole ndio anakuwa spika. Vifaranga wa bata (Polepole na Bashiru), hawawezi kukaa na vifaranga wa kuku
Hao wote ulio wataja ni zao la Jiwe .
 
Hivi Chuo chake cha Uongo...zi kimefia wapi yarabi?😆😆
Nasikia yuko njiani kumuona waziri husika atengue zuio la TCRA!
1642054752866.png
 
Waunga juhudi wote watapukutishwa ndo watajua kuwa unafiki ni laana na itawatesa daima
 
Back
Top Bottom