Kwanini Polepole asirudi chama chake cha asili (CHADEMA) na Bashiru (CUF)? Naona kama CCM kimewakataa kiufundi

CCM kimeshavuka kutoka kuwa chama cha HARAKATI.

Polepole na harakati zake azipeleke huko CHADEMA.

#CCM Na Utii Kwa Viongozi Wetu

#Mwenyekiti SSH Ndiye Mboni Yetu
hata magufuli mlimdanganya hivyo hivyo....Mboni ya Watanzania ni Mungu.....let this sink in your head.
 
🤣🤣
Kuhusu mboni hujaona nimemzungumzia mwenyekiti wa chama chetu bora CCM ?!!

Hao watanzania wamekujaje hapo ?!!!
 
Polepole ni mwana CHADEMA mzuri na hajawahi kurudisha kadi yake, Bashiru ni mwana CUF kindakindaki.

Wenye CCM ni kama hawawataki, kwanini wasiondoke?

Sasa Chenge aliyekatwa na Bashiru na Polepole ndio anakuwa spika. Vifaranga wa bata (Polepole na Bashiru), hawawezi kukaa na vifaranga wa kuku
Kiroboto mshauri arudi kwenye mjadala wa katiba mpya.,
Nape kateuliwa uwaziri siyo type yake
 
Polepole ni mwana CHADEMA mzuri na hajawahi kurudisha kadi yake, Bashiru ni mwana CUF kindakindaki.

Wenye CCM ni kama hawawataki, kwanini wasiondoke?

Sasa Chenge aliyekatwa na Bashiru na Polepole ndio anakuwa spika. Vifaranga wa bata (Polepole na Bashiru), hawawezi kukaa na vifaranga wa kuku
Mkuu ujue ukishahamia ndani ya CCM ni vigumu sana kurudi upinzani na ukapata mafanikio kisiasa kama uliyoyapata ukiwa ndani ya CCM! Sababu kubwa sio kwamba CCM ni fundi wa siasa no! bali ukiwa CCM mazingira ya kufanya siasa ni mepesi sana, Rejea wenyeviti, Madiwani na wabunge wote wa CCM walivyosaidiwa kushinda katika uchaguzi mkuu wa 2020 hata pale ambapo hawakutarajia hata kwa muujiza!
Hii ndiyo sababu hata wanasiasa wenye nguvu na umaarufu kama akina Lowassa, nyalandu, Sumaye na wengine walipohamia upinzani walishindana na joto la huko, mwishowe waliamua kujisalimisha CCM.
Si kwamba wanaipenda sana CCM bali mazingira ya kisiasa waliyowekewa wapinzani ni magumu sana na huwa magumu mara dufu kwa mwanasiasa anayetoka ndani ya CCM au aliyezowea kufanya siasa akiwa CCM kama akina Polepole na bashiru Ally!
Hawa hata wakienda upinzani sana sana watajizika tu kisiasa!
 
Polepole ni mwana CHADEMA mzuri na hajawahi kurudisha kadi yake, Bashiru ni mwana CUF kindakindaki.

Wenye CCM ni kama hawawataki, kwanini wasiondoke?

Sasa Chenge aliyekatwa na Bashiru na Polepole ndio anakuwa spika. Vifaranga wa bata (Polepole na Bashiru), hawawezi kukaa na vifaranga wa kuku
Wanaona aibu kwa usaliti wao
 
Unaweza kutuwekea hapa kadi ya Chadema ya Polepole ili kunogesha andiko lako kabambe ?
 
Ungewarudisha kama unaweza

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kutuwekea hapa kadi ya Chadema ya Polepole ili kunogesha andiko lako kabambe ?
Sawa, mbali na kadi, hata spirit ya kimaandamano imemjaa,pia mdomo wake unawasha kutukana matusi
 
Polepole ni mwana CHADEMA mzuri na hajawahi kurudisha kadi yake, Bashiru ni mwana CUF kindakindaki.

Wenye CCM ni kama hawawataki, kwanini wasiondoke?

Sasa Chenge aliyekatwa na Bashiru na Polepole ndio anakuwa spika. Vifaranga wa bata (Polepole na Bashiru), hawawezi kukaa na vifaranga wa kuku

tatizo la nyani upenda kula shamba lilo na mazao mazuri na yakisha kwisha hatarudi kwenye shamba lake
 
🤣🤣
Kuhusu mboni hujaona nimemzungumzia mwenyekiti wa chama chetu bora CCM ?!!

Hao watanzania wamekujaje hapo ?!!!
kumbe ccm si cha watanzania?...inaonekana ulivyomaliza kusoma chekechea ukaacha shule ukadhani ni chuo kikuu
 
Unaleta udikteta kutaka kuwafanya watanzania wote wawe wanachama wa vyama vya siasa?!!! Si ndio eee?!!!
 
mjinga sana wewe....soma historia ya dunia. madikteta wote huwa wakazi wa ikulu. marais. hiyo pesa ambayo wazazi wako waliitumia kukulipia ada bora wangenywea pombe tu. walitumbukiza chooni. maana hata jambo dogo la darasa la kwanza bado huna ufahamu nalo
 
Back
Top Bottom