Mwijaku amemtuhumu Masoud Kipanya kuwa "anafanya biashara haramu inayoharibu vijana". Ametoa tuhuma hizi kwa mandishi kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Tuhuma hizi ni nzito na zinatishia usalama wa nchi.
Nilitegemea polisi kwa haraka sana wamkamate Mwijaku na kumhoji kwa undani kuhusu tuhuma zake dhidi ya Masoud, ili Masoud akamatwe na kufungulwa mashtaka.
Haina afya kwa polisi kuzichukulia poa hizi tuhuma. Yafaa ijulikane ni biashara gani hiyo yenye kuharibu vijana inayofanywa na Masoud.
Wao waendelee kupelekana mahakamani lkn serikali iwe imechukuwa hatua za haraka ili kulinusuru taifa.
====
Pia soma