Kwanini polisi haimkamati Mwijaku ili kupata undani wa tuhuma nzito dhidi ya Masoud zinazotishia usalama wa nchi?

Mwijaku hawezi kamatwa sababu anamsifia mama. Nchi hii ukimsifia mama unakuwa immuned dhidi ya makosa yeyote yale.

Sana sana Masoud akiendelea kukaza atapigiwa simu na mtu mmoja wa ofisi za juu na kutulizwa. Ataishia kutoa dukuduku lake kwenye vibonzo vyake tu.

Mijitu kama Mwijaku ni aidha kuishika uipe kipondo takatifu au kuirogea mbali iwe kichaa inayokata mauno sokoni.
Umewaza Kwa kina sana
 
Mwijaku amemtuhumu Masoud Kipanya kuwa "anafanya biashara haramu inayoharibu vijana". Ametoa tuhuma hizi kwa mandishi kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Tuhuma hizi ni nzito na zinatishia usalama wa nchi.

Nilitegemea polisi kwa haraka sana wamkamate Mwijaku na kumhoji kwa undani kuhusu tuhuma zake dhidi ya Masoud, ili Masoud akamatwe na kufungulwa mashtaka.

Haina afya kwa polisi kuzichukulia poa hizi tuhuma. Yafaa ijulikane ni biashara gani hiyo yenye kuharibu vijana inayofanywa na Masoud.

Wao waendelee kupelekana mahakamani lkn serikali iwe imechukuwa hatua za haraka ili kulinusuru taifa.

====

Pia soma
Watakwambia hawafanyii kazi habari za mitandaoni
 
Chanzo unataka kikamatwe? Kwa hali hiyo si tutavitisha vyanzo vingine kwa taarifa nyeti kama hizo? Labda huyo aliyemtaja ndiye akamatwe ili ajibu tuhuma zake.

Ova
 
Wamfumue mara ngapi? Wavujishe video zake mara ngapi?

Yule jamaa ni chizi fresh, ushawahi kukutana watu ambao hawatukaniki basi ndo wale sasa.
Ukitaka kuwagusa basi uwadiss kwa akili kama alivyofanya kipanya. Ndo wanalipuka na kukasirika.
Haha 😂 nimekuelewa mkuu unamaanisha Wana sifa mbaya. Kiasi kwamba ukiwatukana ni kama vile unawaambia sifa zao halisi
Hawasthiki wala hawakasiriki
 
Chanzo unataka kikamatwe? Kwa hali hiyo si tutavitisha vyanzo vingine kwa taarifa nyeti kama hizo? Labda huyo aliyemtaja ndiye akamatwe ili ajibu tuhuma zake.

Ova
Mbona Chanzo Cha Habari ya mkuu wa mkoa wa simiyu kumlawiti biti wa sauti kimekamatwa ni wiki sasa

Labda ndo muongozo na tafsiri ya kipolisi juu ya Sheria mpya ya whistleblower
 
Idara haiwezi dharaulika kiasi hiko.

Kaliba ile ya 'Burton' anakuwaje mmoja wao?!
Hakuna 'Afisa' anaeweza kuropoka ropoka kama vile, tena ishu za ndani kabisa.
Issue zipi za ndani mkuu
 
Mwijaku amemtuhumu Masoud Kipanya kuwa "anafanya biashara haramu inayoharibu vijana". Ametoa tuhuma hizi kwa mandishi kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Tuhuma hizi ni nzito na zinatishia usalama wa nchi.

Nilitegemea polisi kwa haraka sana wamkamate Mwijaku na kumhoji kwa undani kuhusu tuhuma zake dhidi ya Masoud, ili Masoud akamatwe na kufungulwa mashtaka.

Haina afya kwa polisi kuzichukulia poa hizi tuhuma. Yafaa ijulikane ni biashara gani hiyo yenye kuharibu vijana inayofanywa na Masoud.

Wao waendelee kupelekana mahakamani lkn serikali iwe imechukuwa hatua za haraka ili kulinusuru taifa.

====

Pia soma
Mwijaku inabidi akamatwe na kufungwa kama tuhuma alizotoa dhidi ya Masoud ni za uwongo, machawa kama hawa inabidi washikishwe adabu tu mara moja. Mtu mzima kichwani hovyo na ana Mke huyu dogo ila namtilia mashaka pia mkewe, inakuwaje unakubali kuolewa na mtu kama huyu?
 
Mwijaku hawezi kamatwa sababu anamsifia mama. Nchi hii ukimsifia mama unakuwa immuned dhidi ya makosa yeyote yale.

Sana sana Masoud akiendelea kukaza atapigiwa simu na mtu mmoja wa ofisi za juu na kutulizwa. Ataishia kutoa dukuduku lake kwenye vibonzo vyake tu.

Mijitu kama Mwijaku ni aidha kuishika uipe kipondo takatifu au kuirogea mbali iwe kichaa inayokata mauno sokoni.
First paragraph umemaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom