Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Umewaza Kwa kina sanaMwijaku hawezi kamatwa sababu anamsifia mama. Nchi hii ukimsifia mama unakuwa immuned dhidi ya makosa yeyote yale.
Sana sana Masoud akiendelea kukaza atapigiwa simu na mtu mmoja wa ofisi za juu na kutulizwa. Ataishia kutoa dukuduku lake kwenye vibonzo vyake tu.
Mijitu kama Mwijaku ni aidha kuishika uipe kipondo takatifu au kuirogea mbali iwe kichaa inayokata mauno sokoni.
Watakwambia hawafanyii kazi habari za mitandaoniMwijaku amemtuhumu Masoud Kipanya kuwa "anafanya biashara haramu inayoharibu vijana". Ametoa tuhuma hizi kwa mandishi kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Tuhuma hizi ni nzito na zinatishia usalama wa nchi.
Nilitegemea polisi kwa haraka sana wamkamate Mwijaku na kumhoji kwa undani kuhusu tuhuma zake dhidi ya Masoud, ili Masoud akamatwe na kufungulwa mashtaka.
Haina afya kwa polisi kuzichukulia poa hizi tuhuma. Yafaa ijulikane ni biashara gani hiyo yenye kuharibu vijana inayofanywa na Masoud.
Wao waendelee kupelekana mahakamani lkn serikali iwe imechukuwa hatua za haraka ili kulinusuru taifa.
====
Pia soma
Mbona unamjibia?Masoud huyu huyu.
Mwijaku acha dharau, sio kila aliyekuzidi ana biashara Haram.
Atatumia picha hizohizo kuombea misaadaMwijaku ni wa kumteka kama Mo wanamfumua marinda na kumrecord na kumwambia akisema fyoko wanasambaza picha zake.
Hapo asijue ni kosa gani limemfanya apelekewe moto.
Ukatiri utakufikisha wapi?Mwijaku ni wa kumteka kama Mo wanamfumua marinda na kumrecord na kumwambia akisema fyoko wanasambaza picha zake.
Hapo asijue ni kosa gani limemfanya apelekewe moto.
Polisi wetu ni wahuni, mbona Malisa G wamemkamata kwa andiko la mtandaoni!Watakwambia hawafanyii kazi habari za mitandaoni
Jifunze kwanza kuandika, UKATIRI ndio kitu gani?Ukatiri utakufikisha wapi?
Hakuna baraza linaloitwa la maulana punguza chuki,, au ndo washakuharibu huko nyuma mpaka akili imeharibika tangu papa akuruhusu ufilwhe..Baraza la maulana na shurah liingilie kati kuwasuluhisha.
Chanzo unataka kikamatwe? Kwa hali hiyo si tutavitisha vyanzo vingine kwa taarifa nyeti kama hizo? Labda huyo aliyemtaja ndiye akamatwe ili ajibu tuhuma zake.Mwijaku amemtuhumu Masoud Kipanya kuwa "anafanya biashara haramu inayoharibu vijana". Ametoa tuhuma hizi kwa mandishi kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Tuhuma hizi ni nzito na zinatishia usalama wa nchi.
Nilitegemea polisi kwa haraka sana wamkamate Mwijaku na kumhoji kwa undani kuhusu tuhuma zake dhidi ya Masoud, ili Masoud akamatwe na kufungulwa mashtaka.
Haina afya kwa polisi kuzichukulia poa hizi tuhuma. Yafaa ijulikane ni biashara gani hiyo yenye kuharibu vijana inayofanywa na Masoud.
Wao waendelee kupelekana mahakamani lkn serikali iwe imechukuwa hatua za haraka ili kulinusuru taifa.
====
Pia soma
Duuuh Mzee wa kijambo umeandika nini hapo?Baraza la maulana na shurah liingilie kati kuwasuluhisha.
Hata biashara ya pombe ni Haram,hakusema Haram kwa misingi ya dini au serikaliPolisi wetu ni wahuni, mbona Malisa G wamemkamata kwa andiko la mtandaoni!
Haha 😂 nimekuelewa mkuu unamaanisha Wana sifa mbaya. Kiasi kwamba ukiwatukana ni kama vile unawaambia sifa zao halisiWamfumue mara ngapi? Wavujishe video zake mara ngapi?
Yule jamaa ni chizi fresh, ushawahi kukutana watu ambao hawatukaniki basi ndo wale sasa.
Ukitaka kuwagusa basi uwadiss kwa akili kama alivyofanya kipanya. Ndo wanalipuka na kukasirika.
Mbona Chanzo Cha Habari ya mkuu wa mkoa wa simiyu kumlawiti biti wa sauti kimekamatwa ni wiki sasaChanzo unataka kikamatwe? Kwa hali hiyo si tutavitisha vyanzo vingine kwa taarifa nyeti kama hizo? Labda huyo aliyemtaja ndiye akamatwe ili ajibu tuhuma zake.
Ova
Issue zipi za ndani mkuuIdara haiwezi dharaulika kiasi hiko.
Kaliba ile ya 'Burton' anakuwaje mmoja wao?!
Hakuna 'Afisa' anaeweza kuropoka ropoka kama vile, tena ishu za ndani kabisa.
Mwijaku inabidi akamatwe na kufungwa kama tuhuma alizotoa dhidi ya Masoud ni za uwongo, machawa kama hawa inabidi washikishwe adabu tu mara moja. Mtu mzima kichwani hovyo na ana Mke huyu dogo ila namtilia mashaka pia mkewe, inakuwaje unakubali kuolewa na mtu kama huyu?Mwijaku amemtuhumu Masoud Kipanya kuwa "anafanya biashara haramu inayoharibu vijana". Ametoa tuhuma hizi kwa mandishi kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Tuhuma hizi ni nzito na zinatishia usalama wa nchi.
Nilitegemea polisi kwa haraka sana wamkamate Mwijaku na kumhoji kwa undani kuhusu tuhuma zake dhidi ya Masoud, ili Masoud akamatwe na kufungulwa mashtaka.
Haina afya kwa polisi kuzichukulia poa hizi tuhuma. Yafaa ijulikane ni biashara gani hiyo yenye kuharibu vijana inayofanywa na Masoud.
Wao waendelee kupelekana mahakamani lkn serikali iwe imechukuwa hatua za haraka ili kulinusuru taifa.
====
Pia soma
Ndo ivo mkuuHaha 😂 nimekuelewa mkuu unamaanisha Wana sifa mbaya. Kiasi kwamba ukiwatukana ni kama vile unawaambia sifa zao halisi
Hawasthiki wala hawakasiriki
First paragraph umemaliza kila kituMwijaku hawezi kamatwa sababu anamsifia mama. Nchi hii ukimsifia mama unakuwa immuned dhidi ya makosa yeyote yale.