Kwanini Polisi hawapewi kazi za utendaji kama Wanajeshi

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Kitu kinanishangaza kwanini Polisi hasa wastaafu hawahusiswi sana na shughuli za kisiasa kama wastaafu wanajeshi. Wanajeshi wanachaguliwa kama mabalozi, wakuu wa mikoa na kwenye bodi tofauti lakini polisi ni wachache. Polisi wana uzoefu mkubwa sana na wananchi lakini nashangaa kuona hawatumiki.
 
hao watabaki kuwa polisi jamii au sungu-sungu zinawatosha kabisa hizo kazi
 

Kwenye maadili marks ni mbovu sana
 
Wanapenda sana ku brashi viatu kwa kutumia kiwi za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…