Umofia Kwenu wana JF, Mwalimu wa Makomandoo kikosi cha 94KJ Ngerengere anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la mauaji. Chanzo cha mauaji ni wivu wa kimapenzi. MWALIMU wa makomandoo katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kikosi cha 94 KJ kilichopo Ngerengere mkoani Morogoro, Luteni...