Kada za upolisi na ualimu ni kada za watoto wa masikini hivyo hawana njia nyingine ya kusurvive lazima watimize kila wanaloambiwa na watawala. Umeona wanataka kuajiri polisi wenye Division IV ya 28-31 ndo kundi ambalo haliwezi kufit popote ili watawala walitimikishe vizuri. Ni watu wasio na mbele Wala nyuma walishavurugwa hivyo kwa kutesa watu,kubambikia kesi ni matokeo ya mioyo yao iliyopondekapondeka kwa stress.