Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shaming never worked🙌🏾Hahahahaha...
Ushamba, ulimbukeni, uzuzu...
Mipirani SMG, mikutano ya vyama mitutu, viongozi kutembelea raia mitutu, ziara za rais hapo sasa ni kama wanaenda vitani!
Bure kabisa....
Polisi wetu huwa muda wote wanawalinda watawala dhidi ya kupinduliwa badala ya raia.Karibu nchi zote za Africa polisi wanabeba mitutu/rifles tofauti na nchi nyingi za Magharibi wakoloni wao ambao polisi wao wanatumia bastola zaidi.
Hii imesababishwa na gharama za bastola au ufanisi wa mitutu?
Ili kuwatisha wapinzani.Karibu nchi zote za Africa polisi wanabeba mitutu/rifles tofauti na nchi nyingi za Magharibi wakoloni wao ambao polisi wao wanatumia bastola zaidi.
Hii imesababishwa na gharama za bastola au ufanisi wa mitutu?
Wanalinda Rais na mali zakeWanalinda raia na mali zao.
Waige kwetu kwani nani kati ya sisi na wao waliogundua hizo silaha?Sio kila kitu lazima tuwaige wazungu vingine wao waige kwetu.
Lakini wenzetu mbona wako simple unakuta ana desert ego, au Glock au Berera 92fs au Girsab Yavus huku unakuta askari ana QBZ191 ya kichina km tuko el salvador1. Sanasana ni kutishana.
2. System zetu za Ulinzi bado ni primitive
3. Lakini pia maadui(majambazi wa ukweli) wengi wao wana mashine za maana kama SMG. Sasa Police wakiwa na bastola si itakuwa kasheshe kwenye ku- counter?
Fact: Silaha za Kale zilivumbuliwa hapa hapa kwetu Bongo. Zikiwemo mishale visu mikuki n.k.Waige kwetu kwani nani kati ya sisi na wao waliogundua hizo silaha?
👍🤝👏🙏Hahahahaha
Ushamba, ulimbukeni, uzuzu.
Mipirani SMG, mikutano ya vyama mitutu, viongozi kutembelea raia mitutu, ziara za rais hapo sasa ni kama wanaenda vitani!
Bure kabisa....