KAH!POLISI NI MIQUNDU
Na kwenye sanduku la kura wanaiba kura!Wanabeba lawama vya kutosha, hali wao wanatekeleza amri kutoka kwa mkubwa wao, mkubwa nae ana mkubwa wake anaye mtuma na huyo mkubwa ana mkubwa wake !
Suluhisho lianzie kwa mkubwa kabisa kwa kuwajibishwa na wananchi wanaompa madaraka kupitia sanduku la kura.
Kijana ww tulia,hawa polisi dawa yao inachemka jikoni na naamini wako wachache sana kwa idadi yao tutakapochoka kutekwa rasmi nadhani hawatateka mtu Wala hawatampata wa kumpeleka polisi kwa sababu tutakuwa na research ya kutosha kabisa kwamba polisi si pa kuokoa maisha yetu tena kumbe ww waache polisi waendelee kutuaminisha hivyo MUDA UKIFIKA JESHI LOTE LITAFUTWA kwa sababu litakuwa halina sifa na haliaminiki tena na watanzania wote.Kuna tabia ya ajabu sana imezuka sasa hivi kwa jeshi letu la polisi. Sio mara moja tumesikia mtu ametupwa kwenye mapori, na wengine wametupwa kwenye mapori yenye wanyama wakali.
Nani asiye na weledi kiasi hiki anaye waagiza police kufanya hayo. Tumemsikia satifa aliye tupwa kwenye hifadhi ya wanyama katavi karibu na mto wenye mamba tena baada ya kupigwa risasi ya kichwa, lengo likiwa aliwe na wanyama wakali, vijana wa CHADEMA wakapiga na wakatupwa mapolini huko Bagamoyo, Heche naye kama si mlinzi wake pengine naye angetupwa serengeti huko.
Hizi habari zina ogofya sana , kama kweli haya mambo yanafanywa na police , kuwalisha wanyama wa porini nyama ya binadamu, kuna hasira ya Mungu itatushukia.
Hakuna anayeweza kuamini jeshi letu lenye mavazi nadhifu kuwa na mioyo michafu ya kikatili kiasi hiki.
Juzi tena vijana wachadema wamekamatwa na kutupwa kwenye mapori ya mkuranga.
Watanzania tujiulize tunakqenda wapi? Je kwa mambo haya hatuoni siku ambayo kuna kikundi kitakula nyama zetu?
Kuna adui ameingia na kujifanya ni sehemu ya vyombo vyetu vya usalama .
Pengine ndugu zetu waliopotea miili yao imeliwa na wanyama wa porini.
Mimi naamini, Jeshi la police halihusiki, huwezi vaa uniform nzuri kama hizi ukamtupa binadamu mwenzio aliwe mamba, labda shetani awe ndio baba yako.
Mungu irehemu Tanzania.
mjadala, nini kifanyike kutokomeza haya.
Kuna tabia ya ajabu sana imezuka sasa hivi kwa jeshi letu la polisi. Sio mara moja tumesikia mtu ametupwa kwenye mapori, na wengine wametupwa kwenye mapori yenye wanyama wakali.
Nani asiye na weledi kiasi hiki anaye waagiza police kufanya hayo. Tumemsikia satifa aliye tupwa kwenye hifadhi ya wanyama katavi karibu na mto wenye mamba tena baada ya kupigwa risasi ya kichwa, lengo likiwa aliwe na wanyama wakali, vijana wa CHADEMA wakapiga na wakatupwa mapolini huko Bagamoyo, Heche naye kama si mlinzi wake pengine naye angetupwa serengeti huko.
Hizi habari zina ogofya sana , kama kweli haya mambo yanafanywa na police , kuwalisha wanyama wa porini nyama ya binadamu, kuna hasira ya Mungu itatushukia.
Hakuna anayeweza kuamini jeshi letu lenye mavazi nadhifu kuwa na mioyo michafu ya kikatili kiasi hiki.
Juzi tena vijana wachadema wamekamatwa na kutupwa kwenye mapori ya mkuranga.
Watanzania tujiulize tunakqenda wapi? Je kwa mambo haya hatuoni siku ambayo kuna kikundi kitakula nyama zetu?
Kuna adui ameingia na kujifanya ni sehemu ya vyombo vyetu vya usalama .
Pengine ndugu zetu waliopotea miili yao imeliwa na wanyama wa porini.
Mimi naamini, Jeshi la police halihusiki, huwezi vaa uniform nzuri kama hizi ukamtupa binadamu mwenzio aliwe mamba, labda shetani awe ndio baba yako.
Mungu irehemu Tanzania.
mjadala, nini kifanyike kutokomeza haya.
Kwa kweli Kuna shida...Kuna tabia ya ajabu sana imezuka sasa hivi kwa jeshi letu la polisi. Sio mara moja tumesikia mtu ametupwa kwenye mapori, na wengine wametupwa kwenye mapori yenye wanyama wakali.