Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #281
Sijui ipoje hii kwangu,mimi hata mdogo wangu wa kuzaliwa namuita bro.Kwanini nikuamkie wakati wewe mwenyewe unaniita bro?
Unatulia sawa mkuu lakini kuna siku shetani anakupitia na kujikuta unakumbushia yale yale ya zamani...Kuna aibu zakujitakia iasee.
Mimi binafsi nimpenzi sana wakula tunda ila ntafika pahala nafanya maamuzi kama ni wake zangu wawili au mmoja basi natulia.
Hapo kwenye kukumbushia ndo utakapo umbuka kwa aibu kubwa.Unatulia sawa mkuu lakini kuna siku shetani anakupitia na kujikuta unakumbushia yale yale ya zamani...
Mbona uhalifu unaowahusu watoto wadogo huwa hawataji majina yao? Kumbuka kesi ya babu Seya.Hivi maana ya habari ni nini?Wanahabari walitaka habari inayouza/someka.
Yaani wewe kama una umri huo na una mambo hayo bora uache, vinginevyo tutakusoma tu!Uchunguzi ufanyike lakini busara pia itumike. Taarifa kuwa alifia hotelini ibaki kuwa ni mali ya Polisi tu kwa matumizi yao na sio kutoa kwenye media.
Kwanini wataje jina lake?
Hii statement yako ya mwisho imenikosha sana "Kila umri wako unaposegea basi hekma na busara ziwe maradufu"Unajua binadamu tumepewa akili na inapaswa tuzitumie akili zetu vyema eti. sikwambii kwa mzee kama yule ambae akupaswa kufanya michezo ya kipuuzi.
ukishafika zaidi ya miaka 40 unatakiwa kuzitumia akili zako vyema zaidi.
Kila umri wako unaposegea basi hekma na busara ziwe maradufu.
Hahahahaaaaa hapana mkuu mimi nina miaka 36 mwaka huuYaani wewe kama una umri huo na una mambo hayo bora uache, vinginevyo tutakusoma tu!
Unasema nini sasa!? Umeshasema watoto, lakini mtu mzima baby Seya na watoto wake walitajwa. Acha tu hayo mambo!Mbona uhalifu unaowahusu watoto wadogo huwa hawataji majina yao? Kumbuka kesi ya babu Seya.
We had to get it thoroughly well!Ni kutukanya ingawa inaumiza kwa ndugu na jamaa wake.When it comes to kids,we won't mention there identities!Mbona uhalifu unaowahusu watoto wadogo huwa hawataji majina yao? Kumbuka kesi ya babu Seya.
Basi fanyia kazi onyo ulilopata kupitia huyu mzee. Umri ukienda utulie!Hahahahaaaaa hapana mkuu mimi nina miaka 36 mwaka huu
Wale watoto si ni sehemu ya tukio (crime) kama alivyo huyu dada wa miaka 33 Neema Kibaya? Kwanini majina yalifichwa?Unasema nini sasa!? Umeshasema watoto, lakini mtu mzima baby Seya na watoto wake walitajwa. Acha tu hayo mambo!
Huyu mzee angekuwa na mtoto Police OCD wangemfanyia dhihaka hii?We had to get it thoroughly well!Ni kutukanya ingawa inaumiza kwa ndugu na jamaa wake.
Why not mentioning?When it comes to kids,we won't mention there identities!
Huyo Neema ni mtoto!? Hao walikuwa watu wazima wawili na wote wametajwaWale watoto si ni sehemu ya tukio (crime) kama alivyo huyu dada wa miaka 33 Neema Kibaya? Kwanini majina yalifichwa?
Kama watoto wanaheshimiwa, kwanini mzee alielitumikia taifa mpaka miaka 80 bado ananyimwa heshima yake?Huyo Neema ni mtoto!? Hao walikuwa watu wazima wawili na wote wametajwa