Kwanini Polisi walishindwa kuifichia aibu familia ya Mzee David Makerege? Yesu aliwaambia "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe"

Tukio la mtu kufia hotelini unahisi litaonwa na watu wangapi? Hata kama wangeamua kubaki na hizo info.
Mpaka sasa unahisi limeonwa na wangapi ukizingatia nguvu ya mitandao ya kijamii katika karne hii ya 21?
 
Tuanzie hapo. Jamii yetu ya Kitanzania na Kiafrika akili zetu tumezilemaza kufikiria nje ya box linapo kuja swala la Guest house na hotel, motel nk. Huenda Mzee wetu alikuwa kwenye deals nyingine tofauti na mawazo ya wengi. Huenda alikuwa business partner wake.
Sawa mkuu
 
Haya mambo yapo Sana tu nakumbuka miaka ya 90 mwishoni tukio kama hili lilitokea kwa mzee mmoja mwenye heshima zake pale mjini Arusha maana alikua Manager wa kiwanda flani maarufu Sana ambacho kwa sasa kimesitisha uzalishaji.

Aisee ile ilikua ya aina yake maana alikua anaheshimika mno kumbe nyuma ya pazia anapiga mishe mibovu.
 
Na pia yataendelea kuwepo,maana michepuko mingi inaliwa Nyumba za Wageni, ni michepuko michache sana inaliwa kwenye gari!!
 
Haya mambo yapo Sana tu nakumbuka miaka ya 90 mwishoni tukio kama hili lilitokea kwa mzee mmoja mwenye heshima zake pale mjini Arusha maana alikua Manager wa kiwanda flani maarufu Sana ambacho kwa sasa kimesitisha uzalishaji.

Aisee ile ilikua ya aina yake maana alikua anaheshimika mno kumbe nyuma ya pazia anapiga mishe mibovu.
Sad indeed
 
Back
Top Bottom