Kwanini Polisi walishindwa kuifichia aibu familia ya Mzee David Makerege? Yesu aliwaambia "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe"

Sawa watatulia tu mkuu wastaafu hawa
 
Neema wako tena mkuu? Unajuana na huyu dada?
 
Hawa wazee wanapenda sana booster,,wanasahau lishe Bora na mazoezi pia ni booster Bora kabisa ya sex drive regardless your age.Waache kutumia booster,ila wabadilishe lifestyle waanze kuwa na mazoezi na chakula Bora kwa afya zao na nguvu mujarabu.
Sawa mkongwe ninaona unatoa ushauri wa kitaalam
 
Kwani waliovujisha ni Polisi? Polisi tusiwasingizie. Wakati mwingine mimi huwa anapenda sana polisi maana hawana kuficha maneno! Kwenye makaratasi ya0 wanaandika mpaka kabila lako!
Ni nani alivujisha? Ulisikia statement ya RPC wa Kinondoni?
 
Huyu Mzee kwangu Mimi ni Shuja wangu na ningekua mwandishi mzuri ningemtungia story ya ushuja wa nguvu za kiume kwa kipindi hiki,Vijana wengi wanalia na hilo tatizo, wakati kuna wa miaka 80 bado Wana gonga tena vitu vibichi kabisa!!
 
Huyu Mzee kwangu Mimi ni Shuja wangu na ningekua mwandishi mzuri ningemtungia story ya ushuja wa nguvu za kiume kwa kipindi hiki,Vijana wengi wanalia na hilo tatizo, wakati kuna wa miaka 80 bado Wana gonga tena vitu vibichi kabisa!!
Kuna Wazee wa miaka 80 wanagonga Kama kawa!!
 
Mimi nafikiri ingekua mwanaune miaka 40 mwanamke miaka 33 wala isingekua habari kubwa yangeisha siku hyo hyo...

Hapa shida miaka 80 upo gesti na vibinti so mzee ndio alaumiwe sio polisi
Sasa Mzee nguvu ipo, mwacheni ale! Kifo ni kifo tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…