Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #321
Very sadUsilale Mbezi Garden chumba namba 22
Sina jibu sahihi mkuuSamahani kidogo, hiv huyu mzee alikuwa ni kigogo fulani mkubwa wa serikali/mtu fulan maarufu mpaka habari yake imetrend hivi au ni mtu qa kawaida upepo mbaya tu umemwelekea habari yake ikavuma hiv?
Tena baba mtu mzima wa miaka 80 aisee mwenye watoto na wajukuuFamilia ya huyo mzee iende mahakamani, hapakuwa na sababu ya kumdhalilisha mzee wa watu kiasi hiki
Hizi zako ni siasa sasa mkuuNi kazi gani isiyohitaji hekima mkuu? Yani hizo hekima zako na zangu na mwingine Ndio zilijumuishwa ikapatikana PGO inayotumiwa na Polisi
Alikufa binti wa ndugu yangu na Polisi hawakusema kwenye mediaNa kazi ya polisi sio kuhukumu,na Hakuna mahali taarifa imemhukumu au kumlaumu marehemu.
Kilichoelezwa ni tukio kama yanavyoripotiwa mengine hata wewe ukijinyonga Leo kesho polisi atatoa taarifa umejinyonga na mazingira ya kujinyonga Ms sababu Kama uliiweka wazi.
Huyu mzee angekuwa na mtoto Police OCD mngeweza kumtaja kwenye media?Hakuna mahali amevunjiwa heshima,kilichoripotiwa ni kifo chake na mazingira ya kutokea kwake kwisha.Au ulisikia Polisi anasema marehemu alikosea kulala na mjukuu wake?
Sio kila tukio linapaswa kutolewa report kwa umma kwa njia zinazofanana.Sio polisi walimpa coverage kubwa kasababu hawana TV Radio, au gazeti.Ni umma ndio ulimpa coverage kupitia mitandao ya kijamii.
Kwani mkuu polisi ndio waliotoa picha zake na za mwanamke?polisi wameripoti Kama tukio lingine umma Ndio ukalidaka na kuongezea Nyama
Inasikitisha sana mkuu...Police hawakutoa taarifa ila iliyoleak ni ile Document halali ya Police, ambapo ni kosa kubwa maana taarifa inayosambaa ni ile ripoti iliyoandikwa na Askari wetu aloyeshuhudia tukio!
Polisi ikiua majambazi huwa hawawataji majina. Watoto walioathirika katika kesi ya babu Seya mbona Polisi hawakuwataja majina?...Kwani wanaokamatwa kwa ujambazi au utapeli au rushwa familia zao hazidhaliliki?ulishawahi kuona sio sawa?
Sawa wametoa taarifa, sasa kulikuwa na ulazima gani wa kutaja majina ya yule mzee? Kwani bila majina jamii haiwezi kujifunza?...Ni Vema ukafahamu kwamba polisi Wanatoa taarifa kwa makusudio makuu mawili,kwanza kuuhabarisha umma ambao ni Wajibu wa kila taasisi, pili kutoa funzo au onyo ya tabia au mienendo fulani.
Mbona hao majambazi baada ya kuuwawa huwa hawatajwi majina yao? Kesi ya babu Seya wale watoto hawakutajwa majina, kwanini?...Linaporipotiwa tukio la ujambazi au wizi fulani ni kuuambia umma ukae macho juu ya wizi wa namna hiyo,unaposikia polisi wameua majambazi kadhaa ni kuwapa onyo Wezi wengine na wale wenye nia ya kuingia kwamba watauawa
Familia ya huyu mzee imedhalilishwa mkuu...Na kwa hili la huyo mzee funzo kubwa limepatikana kwa jamii pia.
Kazi za Polisi ni kufuata PGO pamoja na hekina na kuheshimu wazee waliowazidi umri mkuu...Polisi wanaongozwa na PGO Ndio inamuongoza RPC kutoa taarifa ya Matukio yote katika eneo lake.huo mfano wako wa maneno ya Yesu ni irrelevant Kwasababu hawaongozwi na Bibblia au Quran.
Kwa bahati mbaya sana hii sikuwahi kuisikia mkuuNakumbuka Chenge na Ditopile kukumbwa na mikasa ya kusababisha vifo huku wakiwa na vidosho vyao pembeni. Na iliripotiwa hivyo japo yawezekana taarifa zilichujwa.
mhhh...Umbea huu sasa! Mna ushahidi gani kuwa mzee alikuwa ana kula nyapu? Mlimpiga chabo? Hii ya chabo pia ni tabia mbaya!! Mimacho yenu ilimroga.
Hata kama alikuwa anakula nyapu, kidume maumbile yanamruhusu! Sasa afanyeje akabake wajukuu zake nyumbani? mtalalamika kabaka!! Akila wale wa halali, tena waahitaji huduma Ooooh! huyu mzee.
huyu kwa chama la watu malijali ni shujaa wa kuigwa. safi sana amekufa kishujaaa! akipigania nyapu! uhai ule huenda binti ana mimba ya babu! muulizeni vizuri hayo ndo mambo.
Itakuwa siyo bahati mbaya mkuu ila inaonekana wakati hayo yanatokea wewe ulikuwa bado kinda miaka hiyo.Kwa bahati mbaya sana hii sikuwahi kuisikia mkuu
Very low!Binti wa ndugu yangu alikufa hostel mwaka jana lakini hakutangazwa
Una hoja hapa,.Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Kwanza kabisa ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno machache ya waziri wa mambo ya nje mzee wetu professor Palamagamba Kabudi. Pia kabla ya yote ikumbukwe ninaandika haya nikiwa sina "vested interest" undugu, ujamaa wala urafiki na mzee Makerege wala familia yake. Hawanijui wala siwajui "personally" lakini mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Kuna siku moja nikiwa ninatazama video za zamani za vikao vya bunge huko mjini Dodoma, katika mtandao wa youtube nilipata fursa ya kutazama clip moja ambayo mchangiaji alikuwa ni mzee Kabudi.
Katika mchango wake ule mzee Kabudi alipata kusema maneno haya "Katika Wizara ambazo zinapaswa kuongozwa kwa hekima na busara kubwa ya hali ya juu basi ni Wizara tatu tu ambazo ni katiba na sheria, mambo ya nje pamoja na wizara ya mambo ya ndani"
Mimi sio mzee Kabudi na wali siwezi kuisemea nafsi yake lakini sidhani kama alimaanisha wizara zingine zinapaswa kuongozwa na mawaziri ambao ni "vilaza" lakini wizara ya mambo ya ndani ni wizara inayogusa maisha ya watanzania wote kila siku pasipo kujali umri, hali yake ya kipato ama jinsia.
Kwa nchi ambazo zimeweka sheria inayokataza vitendo vya utoaji wa mimba (sijui hapa Tanzania kama hii sheria ipo au la), Wizara ya mambo ya ndani inagusa hata maisha ya mtoto aliyepo tumboni mwa mama yake leo hii nikiwa na maana kwamba mama yule anaweza kushitakiwa endapo atajaribu kufanya kitendo cha utoaji mimba (abortion) ambacho kitaathiri maisha ya mtoto aliyepo tumboni mwake.
Kuna habari zimetapakaa sana katika mitandao ya kijamii kuhusiana na Mzee David Makerege (umri miaka 80) aliyefariki dunia akiwa chumbani kwenye hoteli jijini Dar es Salaam. Kwa mila, desturi na tamaduni zetu sisi waafrika ipo hivi;
Kuna uzito mkubwa uliowekwa juu ya kuwaheshimu wazee katika tamaduni zetu sisi waafrika, ambao ni sehemu kubwa zaidi ya mila na desturi zetu na ni moja ya maadili ya kimsingi katika jamii. Katika umri mdogo unafundishwa kusalimiana, kuongea na suala zima la ku-interact na wazee kwa njia fulani za kistaarabu na zenye staha.
Kwa mfano, unapofika nyumbani kwa mtu, utoaji wa salamu utaanzishwa na yule aliye mdogo, ambaye baada ya hapo lazima aulize hali ya kila mtu aliyepo (mmeshindaje hapa). Kwa wasichana au wanawake, hii inaweza kuhusisha kupiga magoti, kisha kuuliza kila mtu juu ya afya yake (jamani mnaendeleaje humu). Wavulana na wanaume watafanya vivyo hivyo, lakini kwa kumpa mkono mzee.
Kushindwa kufanya hivyo kunaonekana kuwa ni dharau, na inachukuliwa kama ishara ya malezi duni au ukosefu wa heshima. Ndani ya kaya, babu na bibi wana ushawishi mkubwa. Heshima hii kwa wazee inapaswa kuenea nje zaidi ya familia zetu. Mwanamke yeyote mzee au mwanamume anapaswa kupewa heshima vivyo hivyo hata kama sio ndugu yako.
Sasa ni kipi alichokosea Mzee Makerege mpaka mnashindwa kumfichia aibu ya namna hii? Vp kuhusu familia yake (mke na watoto) mtaani na huko ofisini? Vipi kuhusu wakwe zake na wakamwana?
Vipi kuhusu wajukuu zake huko mashuleni wanaposoma na mtaani wanapoishi? Hawa woooote kwa ujumla wao wataificha wapi aibu hii? Wataweka wapi macho yao?
Leo mzee David kafia Hotelini na mpenzi wake, sasa kesho na kesho kutwa wamekufa wazee wenu kwa namna hii, mtawaanika hadharani?
Kuna kipindi fulani niliwahi kusikia wanasiasa wakipigia kelele sana hili suala la sera ya matibabu bure kwa wazee. Yaaani mzee akiwa anaumwa na kufika katika kituo cha afya atibiwe bure pasipo malipo yoyote au alipie gharama kidogo sana tofauti na yule asiye mzee.
Je, sera hii ililenga katika kulinda utu na heshima ya mzee kama mtanzania aliyekwisha litumikia taifa lake kwa miaka mingi sana na sasa umefika muda wa Taifa kumuangalia yeye.
Kama tunashindwa kulinda heshima za wazee kama akina Makerege ni kweli tutaweza kutekeleza heshima ya kumpa mzee matibabu ya bure?
Mimi Infantry Soldier sio askari jeshi wala mtumishi wa ofisi yoyote ya serikali bali ni raia mwema ninayeipenda sana Tanzania yangu. Hili jina nilijpa tu kutokana na changamoto kadhaa nzito nilizowahi kuzipitia katika maisha yangu.
Polisi niliwatetea sana katika sakata la Akwilina (Muhimu Sana: Polisi wakikosea kidogo, isitufanye tukasahau mazuri na mema yote wanayoyatenda) lakini katika hili la mzee Makerege mmeniangusha na mmekosea sana.
TUWE WAZALENDO TUHESHIMU WAZEE WETU. TUSICHAFUE TASWIRA ZAO NJEMA. USTAWI WA NCHI YETU WALIUFANYA WAKIWA BADO VIJANA KWA KUTIMIZA WAJIBU WAO IPASAVYO.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Malima ambae Sasa hivi ni Mkuu wa Mkoa wa Mara,aliibiwa silahaa na pesa na Malaya Guest ,na taarifa ziliiandikwa kwa vyombo vya habari, Ditopile pia alifia Nyumba ya Wageni na taarifa zake pia ziliandikwa kwa vyombo vya habari!! Tena kipindi hicho Smart phone zilikua bado hazijaanza!!Huyu mzee angekuwa na mtoto Police OCD mngeweza kumtaja kwenye media?
Alichopata huyo mzee ni stahiki yake. Sisi tunasema hivi ukimstiri Mola wako na yeye anakustiri.Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.