Kwanini Polisi walishindwa kuifichia aibu familia ya Mzee David Makerege? Yesu aliwaambia "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe"

There's greater good in exposing the evil that the stupid old man has caused this society than covering for his stupidity. Yes, hata kama ndugu yangu ni sawa kuexpose. Nyinyi ndio mnaosababisha maovu yafichwa kwa kisingizio cha kuficha aibu. Shame upon you!
There's greater good in exposing the evil that the stupid old man has caused this society than covering for his stupidity. Yes, hata kama ndugu yangu ni sawa kuexpose. Nyinyi ndio mnaosababisha maovu yafichwa kwa kisingizio cha kuficha aibu. Shame upon you!
 
Na wewe mwenyewe umerudia kosa lilelile walilofanya polisi, umeweka uzi mpya na kuweka picha ya mhusika
 
Polisi na mahakamani huwa hakuna aibu mkuu , kila ktu huwa kinawekwa wazi, Kuna siku nilisikiliza ushahid mmoja mahakamani ulitolewa mbele ya watu na familia zao bila kujali Kuna mtu na mtoto wake wala nn full aibu ilikua kesi za ubakaji kila kiungo kikatajwa kwa jina lake
 
Wewe hauna dhambi?...
Ninazo. Na atakayezijua akaziona Zina madhara kwa jamii akizianika sitamlaumu.
Usiwe mtu wa kuficha maovu yanayotendeka kwenye jamii. Haisaidii huyo unayemfichia. Yaanike. Hayamsaidii mhisika wala wanajamii. Yaanike, ndio uungwana. Kama hutaki yaanikwe waelimishe wahusika kuepuka majanga ya aina hii. Chukulia wewe ni mchumba wa huyo dada. Usingeshukuru kufahamu undani wa huyo dada?
 
Good..

But wanafamilia wangeambiwa ukweli au?
Absolutely. Wanafamilia ndio wangeambiwa ukweli kuwa mzee alikufa katika mazingira haya na haya.

Au hata walipokuwa wanatangaza katika media kuhusiana na tukio hili basi majina ya wahusika wote wawili yangefichwa.
 
Unashauri askari wasichunguze uwezekano wa foul play katika hichi kifo? Namna pekee hizo details zinaweza kupuuzwa ni kutoangalia uwezekano wa foul play unless toa ushauri ni vipi watachunguza yet jamii na familia isipate hizo details.
Mbona katika kesi ya babu Seya wale watoto hamkuwataja majina yao?
 
Yaani polisi wasitoe taarifa rasmi kwa lengo la kulinda heshima/kumfichia aibu marehemu?

Unajua kuwa Mambo ya kisheria huwa hayana kupindisha?
Kwani ni nani amesema kuwa sheria zipindishwe? Ninachosisitiza mimi ni kuwa hekima ni lazima itumike mnapokuwa mnafanya utekelezaji wa sheria (Law enforcement)
 
Wafanye uchunguzi kimya kimya then ripoti wapatiwe viongozi wa familia, najua mitandao ipo lakini kasi ya kusambaa habari haiwezi kufananishwa na habari official kwenye press release ya RPC
Amedhalilishwa sana huyu mstaafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…