Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #361
Wewe hauna dhambi? Ni nani amekudhalilisha kwenye media?Mshahara wa dhambi mauti. Mambo ya mauti hayana staha, maana dhumuni la shetani, tenda dhambi ilo akuoneshe utupu wako (aibu yako).
Mpaka sasa unahisi limeonwa na wangapi ukizingatia nguvu ya mitandao ya kijamii katika karne hii ya 21?Tukio la mtu kufia hotelini unahisi litaonwa na watu wangapi? Hata kama wangeamua kubaki na hizo info.
Sina comment juu ya hiliHuyu mzee kwa sasa yupo mbinguni kwa kuwa kampa chakula mtu mwenye njaa halafu kamtayarishia chumba ili amweleze shida zake ili amsaidie.
Dhambi hazifanani, na kiwango cha kuanikwa uovu ni tofautiWewe hauna dhambi? Ni nani amekudhalilisha kwenye media?
Sawa mkuuTuanzie hapo. Jamii yetu ya Kitanzania na Kiafrika akili zetu tumezilemaza kufikiria nje ya box linapo kuja swala la Guest house na hotel, motel nk. Huenda Mzee wetu alikuwa kwenye deals nyingine tofauti na mawazo ya wengi. Huenda alikuwa business partner wake.
Na pia yataendelea kuwepo,maana michepuko mingi inaliwa Nyumba za Wageni, ni michepuko michache sana inaliwa kwenye gari!!Haya mambo yapo Sana tu nakumbuka miaka ya 90 mwishoni tukio kama hili lilitokea kwa mzee mmoja mwenye heshima zake pale mjini Arusha maana alikua Manager wa kiwanda flani maarufu Sana ambacho kwa sasa kimesitisha uzalishaji.
Aisee ile ilikua ya aina yake maana alikua anaheshimika mno kumbe nyuma ya pazia anapiga mishe mibovu.
Hakika mkuuInasikitisha sana kwa kweli
Umerudi[emoji16]Hakika mkuu
Ndio mkuu. Nimerudi rasmi hapa jamiiforumsUmerudi[emoji16]
Mkuu upo?Inasikitisha sana kwa kweli
Sad indeedHaya mambo yapo Sana tu nakumbuka miaka ya 90 mwishoni tukio kama hili lilitokea kwa mzee mmoja mwenye heshima zake pale mjini Arusha maana alikua Manager wa kiwanda flani maarufu Sana ambacho kwa sasa kimesitisha uzalishaji.
Aisee ile ilikua ya aina yake maana alikua anaheshimika mno kumbe nyuma ya pazia anapiga mishe mibovu.