Habari wanaJF,
Kwanza kabisa suala hili la Polepole limenisikitisha sana ila Kuna maswali najiuliza huyu ambaye anajulikana Kama Mafwele ametajwa kwenye masuala ya utekaji mengi kwanini asichuliwe hatua nimeshangaa pia katajwa kwenye hili tukio la Polepole yeye ni Nani asichuliwe hatua?
Haya Mambo yanavyotokea ni kwa uwazi mno Polepole ameonekana akipinga baadhi ya Mambo yanayofanyika kwenye serikali na baadhi ya wanachama wa CCM wakionekana kumjibu na kumshambulia kwa maneno hii serikali haioni kuwa tukio la utekaji wa Polepole inaenda kuwachafua directly?
Kama mtu yoyote anayeonekana anaipinga serikali ndio wanapata matukio ya utekaji huwezi kusikia anayesifia serikali kwenye haya matukio je kwa mazingira haya taswira gani inajengeka? Usalama wa raia uko wapi?