Kwanini Polisi wetu ndio wanaongoza kuvunja sheria?

Kwanini Polisi wetu ndio wanaongoza kuvunja sheria?

witzone2

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2022
Posts
797
Reaction score
1,739
Kuna msemo polisi wanao Tii sheria bila shuruti. Lakini wao hawatii hizo sheria hata kidogo. Ndio wanaongoza kula rushwa

Kubambikizia watu kesi. Kufanya ukaguzi wa mtuhumiwa bila kua na warant toka mahakaman. Wanakubambkia dawa za kulevya humo.

Kunyanyasa wananchi imekua ni jadi yao.

Na hali hii imefanya wananchi walio wengi kulichukia sana jeshi la polisi.

Hebu polisi njoo mtueleze kwanini mnafanya haya.

NB: Kule kwetu Kanda maalum Tarime ndo sehemu pekee polisi wote wanaishi kota. Hawawezi ishi uraiani hatutaki ujinga huwezi onea watu halafu uishi uraiani na familia yako. Hatutaki huo ujinga wote wanaishi kota.
 
Ni kwa sababu wana mafungamano ya kudumu na si si emu ambayo ndiye kinara wa kuvunja hizo sheria za nchi kwenye maeneo mbalimbali.
 
Simbachawene akiwa Waziri wao alisemaga wanaopata division 4 ndio wanaofaa kwa kazi hio
 
Ukikubali kusumbuliwa watakusumbua tu!
 
Back
Top Bottom