Tulia uandike hoja vizuri, usiwe nanga ☹️Posho ya vijana wa mujibu na vijana wa kujitolea huwa sawaa nadhani hii huchangia kwa kiasi fulani kupitia kwa baadhi ya Vitu vya vijana wa mujibu wa sheria (kuluta).
Mana vijana wanao jitolea huwa hawana kazi extra kwaajir ya kuendesha maisha na kujikimu wenyew katika nguo,mafuta na maitaji mengine mengi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]wale service man nikiwafikiria malipo yao bora ukauzee bagiaa... me 50k ilikuwa inaisha ndan ya siku 2 tu hapo ni kula maandaz na chapati...sodaposho= 50000-saluni 2000-lambilambi-2000- ukipoteza kifaa 5000 na kunakua na vimakato vya ajabu hadi unapokea 15000 [emoji23] kuwa JKT inahitaji roho ngumu