Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Lakini sio wote mkuu , Mimi sipendi kufanya Generalization napenda haki maana wapo ambao hawasapoti hilo mfano Maghayo The Mongolian Savage , japo wengi wanasapoti kupitia nyuzi zao na post zao mfano Yoda .Kumbuka pro west ni 🏳️🌈🏳️🌈
Kamanda wenu Ibrah Traore ni limbukeni mshamba ambaye Warusi wanataka kumpanda kwenye akili za Waafrika wengi ambao ni wajinga wajinga kwa propaganda uchwara za kudharau akili zetu watu weusi.Mzuka wana jamvi ??
Nashangaa sana chuki zimekuwa nyingi kwa Kamanda Rais wa Burkinafaso Captain Ibrahim Traore kutoka kwa Pro_West maarufu humu jukwaani tena chuki za kipuuzi sana.
Tukianza na Hawa ;
Yoda ; huyu ni chawa mkubwa wa Marekani na matendo yake ameshika usukani kwa vinyuzi yake uchwara vingi kumsema Kamanda wetu.
MK254 ; huyu anampiga vita sana humu Mwamba Putin , operation ya Russia Ukraine pamoja na kusapoti Marekani nae amefuata mkumbo katika kumsema Kamanda wetu.
Nyani Ngabu ; huyu ni Mmatumbi mwenzetu lakini anajikuta Mmarekani na kuwa DieHard chawa wa USA na yeye anaendeleza kampeni chafu dhidi yake
Exception
Maghayo The Mongolian Savage ; hili ni chawa la kutupwa la Netanyahu na USA lakini kwa hili la Ibrahim Traore nampongeza kusimama kidete kutetereka Umatumbi na kumsapoti Kamanda wetu mzalendo.
My Take
Captain Ibrahim Traore hajalipa mtu am promote wala awe chawa wake bali kazi na misimamo yake inajiuza ndio maana amekuwa trending Duniani haswa Afrika na kupendwa na vijana wengi , sasa Pro_West kama mmekosa mada achaneni na propaganda dhidi ya Kamanda wetu kazi zipo nyingi hata Magimbi mnaweza mkalima na kuwa mmefanya la maanaView attachment 3333329
#Nyau de adriz
Kwa asilimia kubwa ndio hao utawakuta wanafurahia lolote linalofanywa na mataifa ya magharibi hata kama kushambulia nchi za afrika kijeshiLakini sio wote mkuu , Mimi sipendi kufanya Generalization napenda haki maana wapo ambao hawasapoti hilo mfano Maghayo The Mongolian Savage , japo wengi wanasapoti kupitia nyuzi zao na post zao mfano Yoda .
Ila kwa Wazee wa Russia na China sijaona yeyote anayesapoti hayo mambo.
I can see through bullshit and drama.Lakini sio wote mkuu , Mimi sipendi kufanya Generalization napenda haki maana wapo ambao hawasapoti hilo mfano Maghayo The Mongolian Savage , japo wengi wanasapoti kupitia nyuzi zao na post zao mfano Yoda .
Ila kwa Wazee wa Russia na China sijaona yeyote anayesapoti hayo mambo.
Ufaransa alikua ananunua uranium burkina faso kwa senti $.80 kwa kilo anauza $250 kwa kilo,sasa urusi ni pasu kwa pasu,unaona siyo la maana hilo!!..wewe ni uchi!Kamanda wenu Ibrah Traore ni limbukeni mshamba ambaye Warusi wanataka kumpanda kwenye akili za Waafrika wengi ambao ni wajinga wajinga kwa propaganda uchwara za kudharau akili zetu watu weusi.
Acha uzwazwa, Burkinafaso haina machimbo ya uranium.Ufaransa alikua ananunua uranium burkina faso kwa senti $.80 kwa kilo anauza $250 kwa kilo,sasa urusi ni pasu kwa pasu,unaona siyo la maana hilo!!..wewe ni uchi!
HOJA HII IUNGWE MKONO NA KILA MWENYE AKILI TIMAMU BILA KUJARI JINSIA YAKE.Ahsante mtoa hojaKumbuka pro west ni 🏳️🌈🏳️🌈
Botswana ni katika Mataifa yenye income inequalities kubwa kushinda yote Duniani. Na ina watu milioni 2 na nusu tu. Kama watu milioni 2 wameshindwa kugawa keki ya Taifa nchi nzima why wasifiwe kama Hero wa Africa?
Ila wa kwetu kazidi kuwa overrated.Yupo overrated.
Na ameingia hapo ikulu kwa njia gani
😂😂unamanisha ni kundi moja?Ila wa kwetu kazidi kuwa overrated.
Na ameingia ikulu kwa njia gani?
😹😹😹 Vita vitaanza ss hivi…!!Kumbuka pro west ni 🏳️🌈🏳️🌈