Kwanini Pro West humu jukwaani wengi wanamchukia Captain Ibrahim Traore?

Income inequality wala haina maana yoyote hapo, UAE na Bahrain zina income inequality kubwa kuliko Botswana.
 
Income inequality wala haina maana yoyote hapo, UAE na Bahrain zina income inequality kubwa kuliko Botswana.
UAE ina immigrants wengi, income inequality ipo baina ya Masheikh na wale immigrants, ila Raia wote wa nchi za gulf wanapata benefits ambazo huzipati popote Africa.

Mfano wa Benefits anazopata Raia wa UAE
1. Elimu bure
2. Afya Bure
3. Familia zote ambazo pato lake la mwezi ni chini ya AED 25,000 (Milioni 18 za kitanzania) wanawekwa kundi maalum na kupewa yafuatayo
-allowance ya nyumba ambayo ni AED 2500 (milioni 1. 8 kwa mwezi kupanga nyumba)
-Allowance kwa wenye miaka 45 ama zaidi bila kazi ambayo ni hadi AED 5000 (milioni 3.6 ya kujikimu vitu kama chakula, mavazi etc)
-Allowance kwa wanaotafuta kazi na hawaja pata, hawa pia wanapewa AED 5000 (milioni 3.6) ila kwa miezi 6 tu atafute kazi, kama hataki kazi hapewi hii allowance hadi afike miaka 45
- allowance ya Chakula asilimia 75 serikali inalipa
-Allowance ya Umeme kama unatumia chini ya Unit 4000 (😂) na maji kama unatumia chini ya Mageloni 26,000
- allowance ya Mama wa Nyumbani AED 3500
-Allowance ya watoto, wa kwanza AED 2400, wa pili AED 1600 na AED 800 mtoto wa 3 kuendelea

Source

Hao kweli mkuu ulinganishe na nchi zetu hizi?
 
Kuna maelfu ya raia wa Zimbabwe huko Botswana, Botswana ni mojawapo ya nchi zinazoongoza kuvutia madaktari kuhamia kutoka nchi nyingine za Africa.
 
Ngozi nyeupe yeyote hajawahi kujali maslahi yetu sisi weusi , anachokifanya traore ni kumnyima juma mwenye pesa akichape na kumpa hamisi mwenye kiburi tu ila hana pesa akichape.
 
I'm not pro-west ila huyo chalii wenu ni coward na mshamba wa gwanda.

Afrika ina viongozi wajinga wajinga na wananchi wajinga wajinga haishangazi Magufuli na huyu chalii kukubalika na kundi kubwa la Waafrika kwa sababu matumizi sahihi ya kichwa haya fanyiki Afrika.
 
Wengi wao ni mashoga hao mkuu!
 
Shoga katika ubora wako.
 
Tupe data za nchi nyingine za Africa KWA kigezo cha upper income
 
Kamanda wenu Ibrah Traore ni limbukeni mshamba ambaye Warusi wanataka kumpanda kwenye akili za Waafrika wengi ambao ni wajinga wajinga kwa propaganda uchwara za kudharau akili zetu watu weusi.
Je, na mimi nikisema wewe Yoda ni mpumbavu na hizi hasira zako ziliochanganyikana na dharau zimetokana na kuona waafrika wengi wameanza kuamka na kugundua hira za hao mabwanyenye wa magharibi unaowalamba makario nitakuwa nakosea? Obvious nitakuwa niko sahihi kabisa

Nyie vibaraka wa mashoga huwa mnajikutaga mna akili na maarifa kuliko wengine, lakini wengi ni wapumbavu tu.

Ibrahim Traore ndio aina ya kiongozi ambaye waafrika tunamuhitaji na sio hao wanaondekeza demokrasia uchwara kumbe majizi tu ambai ndio nyie mnawataka.
 
Ufaransa alikua ananunua uranium burkina faso kwa senti $.80 kwa kilo anauza $250 kwa kilo,sasa urusi ni pasu kwa pasu,unaona siyo la maana hilo!!..wewe ni uchi!
Na kwetu dhahabu tunagawanaje mkuu, au tunashadadia ya wenzetu tu yakwetu mmmmh.
 
Ufaransa alikua ananunua uranium burkina faso kwa senti $.80 kwa kilo anauza $250 kwa kilo,sasa urusi ni pasu kwa pasu,unaona siyo la maana hilo!!..wewe ni uchi!
Urusi nachowapendea wako kibiashara na biashara yao sio ya ugandamizi kama westerners. Wanakupa offer mkono wa kulia wanafanya uporaji mkono wa kushoto.
 
Komenti kama yako ni komenti ya wajinga wengi mliojazana humu ambao mlipaswa muwe Facebook
Hiyo comment yangu iliwahusu mashoga. Vipi mkuu wewe ni shoga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…