Kwanini Pro West humu jukwaani wengi wanamchukia Captain Ibrahim Traore?

😹😹😹 Eti USB ujue mwanzo nilihisi typing error halafu nikaja kushtukia mchezo umeweka code mwenyewe..!! 🤣
🤣🤣🤣🤣Nakupendeaga hapo tu kichwa chako kipo sharp kwenda na code
 
Hata viongozi wa Afrika hawamuungi mkono. Wanaona hii trend inaweza kuwakuta
 
Nionyeshe nchi yoyote duniani iliyoendelea chini ya utawala wa primitive marxist regime nikuonyeshe kuku anayenyonyesha.
Kwani hiyo "primitive marxist regime" ikoje? Au ni kipi ambacho haiwezi kufanya?

Majibu yako nataka yawe na uhusiano na serikali ya capt.Ibrahim Traore tafadhari
 
Kwa hiyo hapa ndio umenifundisha nini sasa na wewe naye? Kwamba mimi sijui kila mtu ana uhuru wa kuchagua upande/mlengo wa kisiasa anaona unamfaa kwa sababu zake au?

Wewe bhana fahamu kuwa tunachokiongelea hapa na kutugadhabisha ni hao kenge wa pro-west wanavyoonesha chuki za wazi wazi kwa Traore huku wakitutukana mpaka sisi wafuasi wake kwamba hatuna akili sijui tunapenda tawala zinazoendekeza ujima.

Sasa kama ambavyo wao wanatumia uhuru wao kututukana sisi na Traore, hivyo hivyo na sisi tuna uhuru wa kuwatukana mashoga wakubwa wafirwaji hao ambao wanaamini hili na akili lazima upende hizo demokrasia uchwara ambazo hazijawahi kuletea impact yoyote ya maana hapa afrika.
 
Afrika kuna demokrasia gani wakati watawala wanawatia raia wao ufukara kila siku na ndio bara lenye watu maskini kuliko mabara yote duniani.
 
Afrika kuna demokrasia gani wakati watawala wanawatia raia wao ufukara kila siku na ndio bara lenye watu maskini kuliko mabara yote duniani.
Umenielewa hata comment yangu kweli wewe???

Kwani hauoni wenzako hapa akina Yoda wakiisifia Botswana na South africa na hata kenya kwamba kuna demokrasia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…