Kwanini programmers wa Tanzania wakikosolewa wanakimbilia kusema budget ya client ndiyo chanzo?

Joined
Jul 5, 2024
Posts
20
Reaction score
58
Nimeona thread's nyingi sana hapa JamiiForums kuhusu programmer's wa Tz wakikosolewa na kila mara jibu wanalolitoa ni kwamba wanalipwa pesa kidogo ndiyo maana wanafanya kazi mbovu.

Kwangu mimi naona hilo ni jibu la kipuuzi kuliko lote kwa maana mbona fani nyingine wanalipwa pesa ndogo lakini project zao zimeenyooka mfano QS.

Programmers wa Tz 99.9% hamna kitu kichwani ni copy & paste.kama ww unajiita programmer JITATHMINI

APPS & WEBSITE karibia zote zilizofanywa na programmers wa Tz ni copy&paste na kidogo zilizofanywa bila kucopy quality zake ni mbovu vibaya mno

NB: Mention project iliyofanywa na Tz programmer yenye standard ya international.
 
Kweli kabisa
 
Siwatetei but i was in that industry at one time, budget yes ni kikwazo namba moja, mteja anaka quality apps but low payments, na market ya ndani imekuwa invaded na programmers wa nje (competition imekuwa juu) and giv haiwapi priority, even gov yenyewe ina outsource to programmers wa nje some major projects

Sipo hupo tena but that what i saw in my time, sujui about miaka hii ya karibun mambo yakoje
 
Umejibu vyema sana kiongozi🤝🏾🤝🏾
Siwatetei but i was in that industry at one time, budget yes ni kikwazo namba moja, mteja anaka quality apps but low payments, na market ya ndani imekuwa invaded na programmers wa nje (competition imekuwa juu) and giv haiwapi priority, even gov yenyewe ina outsource to programmers wa nje some major projects

Sipo hupo tena but that what i saw in my time, sujui about miaka hii ya karibun mambo yakojeU
 
Nimeona thread's nyingi sana hapa JamiiForums kuhusu programmer's wa Tz wakikosolewa na kila mara jibu wanalolitoa ni kwamba wanalipwa pesa kidogo ndiyo maana wanafanya kazi mbovu.

Kwangu mimi naona hilo ni jibu la kipuuzi kuliko lote kwa maana mbona fani nyingine wanalipwa pesa ndogo lakini project zao zimeenyooka mfano QS.

Programmers wa Tz 99.9% hamna kitu kichwani ni copy & paste.kama ww unajiita programmer JITATHMINI

APPS & WEBSITE karibia zote zilizofanywa na programmers wa Tz ni copy&paste na kidogo zilizofanywa bila kucopy quality zake ni mbovu vibaya mno

NB: Mention project iliyofanywa na Tz programmer yenye standard ya international.
  • Kitu kizuri kinahitaji gharama. Hiyo haikwepeki. Ni sawa una 300k unataka Tv inchi 32 ya Samsung, LG au Sony ila kwahiyo hiyo 300k unapata TV inchi 32 na chenji unabaki nayo ila siyo hizo brand za LG, Sony au Samsung.
  • Changamoto za njia za upokeaji fedha kutoka mataifa mbalimbali yanaua ndoto nyingi za maprogrammer. Mfano. Umetengeneza application yako na unataka kuiuza kwa $5. Mtu aliyeopo Ghana ataweza kununua?
Kwasabb kitu kizuri kinahitaji gharama itakulazimisha utengeneze kitu cha kawaida ili mradi upate matangazo ya admob.
 
Japo mimi sio IT.
copy paste ndio utamaduni wa dunia.
Hivi leo unaweza unda shape gani ya gari ambayo haijawahi undwa ?
Angalia AI zote Chat gpt, gemin,pong nk) karibia zote ni copy paste of one another.
Katika research yoyote kuna retrature review, huu ni uwanja wa copypaste.
Wataalamu wa utafiti wanasema inabidi ufanya rr ilii usirudie kile kilichofanywa tayari.
Wazungu wanasema Don't re invent the wheel.
Hata mziki, mpira, kikapu, hadithi, mavazi, biashara,siasa a lugha ni copy paste.
Uzuri wa IT kuna open source room ya kukuruhusu kukopi na ukatumie bure.
Tena bora ma IT wanafanya walau ka utofauti. Udaktari, ualimu Lesson plan ni ile ile ya wazungu miaka na miaka.
Madaktari nao wanatumia njia zile zile mpaka wazungu waje na new procedure.
Mainjinia nao wanajenga vile vile hawana ubunifu wowote.
Haya njoo kwa electronics engineer wamekuja na jambo gani jipya ? Hata meter za umeme zinabuniwa nje.
Sidi kila sekta imedumaa kuwaandama IT ni kuwaonea.
Wewe kwenye sekta yako umefanya nini cha maana ?
 
IT ni kama seremala wa bongo. Seremala anatumia tools mbali mbali kuundia aset. Selemala sio kazi yake kubuni tools bali kuzitimia gata IT ni hivyo hivyo, kuna vitengo vya ubunifu smbavio ri kitoto hiko mbele wana facility tayari usilinganishe na TZ.
Hivi services za VODA nk nani kazibuni ?
Mbona ziko vizuri sana.
 
Chizi jingine hili kuunda program ni kazi ya akili mno huwez fananisha na nyingine nikae nifikiri saana kisha 50k huo ni ufala

Ila kama pesa ipo mbona kitu kinatoka kizuri maana haitakuwa kazi ya mtu mmoja, we angalia 50k kama team ya watu 7 mnagawana nini?
 
Yule anayekubali pesa ndogo kufanya hiyo kazi basi mara nyingi sio mbobezi
Ni wale tia maji, wa youtube na anakwambia amejifunza mwenyewe si haba, lakini wana kosa foundation
Ndio maana hakuna tia maji yeyeto hata ulaya na US anaweza kupewa kazi na kina Google au Microsoft
Hivi ndio jirani zetu maraisi wao wakienda nje wanavyofanya kukutana na giant techs, sasa wa kibongo walivyoweupe hawawezi vitu kama hivi

1721696317603.png
 
"Programmers wa Tz 99.9% hamna kitu kichwani ni copy & paste.kama ww unajiita programmer JITATHMINI"

Dada yangu samahani, hebu elezea hapa, hamna kitu kichwani kwasababu ya copy and paste (kitu ambacho hata rockstar programmers kwenye hizo tech companies kubwa wanafanya) au kwasababu ya quality ya software zinazotengenezwa?

Kama ni quality, kwa vigezo vipi? na hio 99.9 umeikokotoa vipi?

Watu kama nyie hamuelewi ni mda, budget, R&D, software engineers na computer scientists wangapi wametumika ku perfect hizo systems unazotumia ku judge quality ya local softwares zinazoundwa hapa, sio kosa lako cause hufahamu chochote kuhusu IT.
Unahitaji budget, team and mda wa kutosha ku design, ku develop na ku scale software yoyote ile inayo add values kwa watu wengi na kamwe haiwezi kuwa perfect

Crowdstrike outage itakwambia mengi kuhusu ugumu wa ku develop "high quality" software na ni bahati sio "developers wa bongo" walio devide by 0 kwenye kernel kwa sababu povu lingekutoka zaidi ya hapa.

Ni ajabu pale IT wa kwetu wanapokua compared na IT wa nchi zilizoendelea bila ku take into account material conditions na local challenges za nchi zinazoendelea kama hapa kwetu

Ukienda na logic ya hio comparison, utagundua sio IT tu, ni mpaka Ma dokta, wanajeshi, wanasheria, na rais wa "bongo" hamna kitu kichwani
 
Hamna kitu kichwani huyo

Back
Top Bottom