mfichuamambo
Senior Member
- Jul 22, 2021
- 107
- 313
Pugu ni maarufu tokea uhuru na hata kipindi cha ukoloni ilikuwepo.
Lakini huu mji au hilo eneo halikui kabisa au kuendelea kama maeneo mengine ya Dar Es Sallam
Yaani Pugu ni ile ile ya siku zote hadi leo bado viwanja vipo Pugu nashindwa kuelewa ni kwanini Pugu haikui
Watu wako radhi waende Chanika huko lakini siyo Pugu?