Kwanini Pugu ni mji wa zamani lakini haukui?

Kwanini Pugu ni mji wa zamani lakini haukui?

Uwa nasahau kabisa kama Pugu ipo Dar.
Mimi nimesoma Pugu. Unaambiwa ilikuwa ukitoka tu nje kidogo ya shule, unaenda unakutana na kijij ambacho hujawahi kukiona tangu uzaliwe maisha yako yote. Mtu umetoka kijijini kabisa huko mikoani umekuja Dar, halafu unakuja unakutana tena na kijiji kingine huku Dar ambacho ni kijiji kuzidi hata kile ulichotoka wewe kiasi kwamba ukiambiwa ukaishi kwenye kijiji hicho hutaweza, na wakati wewe pia umetokea kijijini. I see Dar kuna vijiji hadi vinatisha
 
Back
Top Bottom