mfichuamambo
Senior Member
- Jul 22, 2021
- 107
- 313
Hata mimiUwa nasahau kabs kama Pugu ipo Dar.
Wazawa ni wazaramo auWazawa awataki kuuza napia meneo mengine makubwa wanamiliki jeshi na baadhi ya viongozi wakubwa serikalini
NjooUshafika Temeke? Gari limezima hapa sina mafuta.
DoohKuna miji MBILIKIMO!
Haikui lakini inazeeka kwa historia!
Pugu ni mji wa kihistoria na itabakia kuwa hivyo
Wazaramo popote waishipo huwa ni mji uliodumaa, pugu ni mji wa wazaramoWazawa ni wazaramo au
EeeehWazaramo popote waishipo huwa ni mji uliodumaa, pugu ni mji wa wazaramo
Say something ndugu 😄Eeeeh
Pugu wapo eeeh?Sehemu yenye wachawi na washirikina huwa haiendelei,
Mfano Bagamoyo, iko karibu na Dar hata kwa mguu unafika kwa muda mfupi lakini kumechoka mpaka basi!
Sasa sijajua hali ya huko ikoje?
Kwani kuna wachawi na washirikina?
Pugu wapo eeeh?
Ushasikia ni mji wa wazaramo unatarajia nini huko😅😅😅watakuwa na mavitu mengi wamefukia fukia chini. Eneo likishakuwa hivyo linakuwa duni hamna biashara inastawi wala maendeleo yoyote sababu ya gundu.Sehemu yenye wachawi na washirikina huwa haiendelei,
Mfano Bagamoyo, iko karibu na Dar hata kwa mguu unafika kwa muda mfupi lakini kumechoka mpaka basi!
Sasa sijajua hali ya huko ikoje?
Kwani kuna wachawi na washirikina?
Mombo imepitwa na korogweMarazote miji mikongwe afrika haichanuagi Hadi kizazi fulani kipotee mfano Tanangozi iringa