Kwanini raia wa kigeni wanapewa kadi za NIDA na pasipoti za Tanzania?

Ninyi mnaojua ndo mtusaidie sasa, tutarelax kwenye matatizo? Kwa mtu ambaye amewahi kusoma madhara ya wageni kuwa ignored na system hasa south Afrika akiona na Sisi tunaleta ujamaa kwenye masuala nyeti ya uraia lazima aumie

Kama kuna kitu cha kulinda Kwa gharama zote ni Utanzania wetu. Tupo kwenye angle ambayo ni hatarishi Sana tumezubgukwa na majirani wenye wivu mkubwa wakitaka Tanzania iingie kwenye machafuko.

Tukiwa wazalendo tukasimamia utumbuaji wa yeyote anayechezea utanzania wetu tutakuwa tumefanya kazi kubwa kuliko hata kujenga reli.

Pasipoti inakqenda kuzalisha watu kibao wasio na sifa za utanzania. Watu hao kwakuwa Wana mataifa Yao awachelewi kutuachia chokochoko tukauana na kuvunja hata reli na barabara.

Tuilinde Tanzania Kwa kuzuia yasitupate ya South Afrika. Let us think about kibiti saga....ule ni mfano wa kukubali kuingiliwa

Nina hasira mjue.....ogopeni Sana kitu kinaitwa XENOPHOBIA
Mkuu nimekuelewa haswa ila hapa tulipofika kama nchi ni kama cancer ambayo ipo stage 4 ,mgonjwa lazima atakufa, Tanzania hii inahitaji generation mpya ya viongozi ili kuinasua nchi, wazo langu hii wizara ya mambo ya ndani ni dude kubwa sana, mimi ningeligawa kuwa na police ministry na home affairs (uraia &immigrations ),sheria nyingi za kikoloni ningezifuta, nchi tungetengeneza systems mpya na inayoongea na dept zote nchini, mtoto hawezi kupata ID kama hana birth certificate iliyondani ya systems ya nchi, passport zitaombwa tu kwa wenye ID book, yaani unakwenda pale kurasini na 🆔 book ONLY kuomba passport, uchafu mwingine tupilia dampo la tabata
 
Ninyi mnaojua ndo mtusaidie sasa, tutarelax kwenye matatizo? Kwa mtu ambaye amewahi kusoma madhara ya wageni kuwa ignored na system hasa south Afrika akiona na Sisi tunaleta ujamaa kwenye masuala nyeti ya uraia lazima aumie

Kama kuna kitu cha kulinda Kwa gharama zote ni Utanzania wetu. Tupo kwenye angle ambayo ni hatarishi Sana tumezubgukwa na majirani wenye wivu mkubwa wakitaka Tanzania iingie kwenye machafuko.

Tukiwa wazalendo tukasimamia utumbuaji wa yeyote anayechezea utanzania wetu tutakuwa tumefanya kazi kubwa kuliko hata kujenga reli.

Pasipoti inakqenda kuzalisha watu kibao wasio na sifa za utanzania. Watu hao kwakuwa Wana mataifa Yao awachelewi kutuachia chokochoko tukauana na kuvunja hata reli na barabara.

Tuilinde Tanzania Kwa kuzuia yasitupate ya South Afrika. Let us think about kibiti saga....ule ni mfano wa kukubali kuingiliwa

Nina hasira mjue.....ogopeni Sana kitu kinaitwa XENOPHOBIA
Ila bado hujanijibu swali nililokuuliza ,ukijibu ndio utajua tatizo lipo wapi?,je wewe ni raia wa nchi hii?na nitakutambua vipi kama ni mtanzania?
 
Mnaofahamu tusaidieni utaratibu wa kupata kitambulisho cha NIDA na Pasipoti incase hata wageni wanaruhusiwa kupata.

Kuna wageni wanafanya biashara na kuajiriwa hapa nchini awali walikuwa na Pasipoti za Kigeni lakini siku hizi Wana Pasipoti za Tanzania kwenye makampuni Yale Yale na TRA taarifa za awali zinasoma ni RAIA WA Somalia, Kenya ,Uganda, Yemen , Msumbiji nk

Hawa watu wanapataje uraia mbona tukienda kwao Pasipoti hatupewi kirahisi? Viongozi waliopewa dhamana yakulinda ajira zetu wazawa wanafanya kazi yao inavyotakiwa?

Je, maafisa wa chini wanaweza kutoa NIDA au cheti cha kuzaliwa au Pasipoti Kwa mgeni Bila wakubwa kujua? Mgeni anawezaje kuwa na kuzaliwa nje ya nchi lakini kwenye Pasipoti anaandikwa amezaliwa Tanzania?

Kwa hali inavyotokea sasa ya makundi ya kigaidi upo uwezekano viongozi wanaotoa vyeti vya kuzaliwa, NIDA na pasipoti wakawa wanatumika kutengeneza documents za kugushi kuwapatia Pasipoti wageni wajiunge na maaramia kwenye vikundi vilivyopo mataifa jirani.

Mimi nadhani eneo hili liangaliwe upya kuna shida na kama mamlaka zinazohusika hazijajua basi watambue wageni wengi Sana wanashirikiana na viongozi kupata Pasipoti yetu.

Nimeandika Uzi huu baada ya kuona Tanzania tumeanza kuwasaidia Diaspora kupata Pasipoti kupitia balozi zetu. Huku nje ya nchi sina shida, napata shida na viongozi waliopo huko bongo hasa kurasini ambao tukienda Sisi wanataka Hadi vyeti vya kusoma PhD ila wakienda watu wenye rangi rangi na umate umate wanapita moja Kwa moja kwenda Kwa wakubwa hata foloni hakuna kupanga kudadeki.....

Mwamba unamjua kabisa huyu tumesikia naye south akiwa raia WA Somali mkombizi ila akishajichanga anaenda Kwa wadosi bongo kurasini asubuhi jioni anakitabu........

Wengine wapo hapo Zambia wamekaa wakizaa Tu wanaipeleka watoto bongo wakachukie Pasipoti......huu ni upumbavu mnatufanyia Sisi weusi wenzenu ila nawaapia mnatengeneza bomu msipokubali kubadilika.

Hizo pesa walizonazo hawa wageni za kuwa na Pasipoti na hata mkiwakamata wamedanganya mnawaomba waondoke taratibu zitawatokea puani one day..

Sisi huku nje tunavyoteseka kukaguliwa hatuna hamu kabisa.....kisa kuna wanigeria na wasomali wachache Wana Pasipoti zetu kimagumashi wanatunyima Amani airport za watu tunaonekana wote kanjanja Tu.

NIDA weusi tuna namba wenye rangi mnawapa vitambulisho poa

Watu wa vyeti vya kuzaliwa watoto wetu vyeti kupata shida ila vya wageni mnatoa tena kwakuwafanya wazaliwe Tanzania wakati siyo wazaliwa wa Tanzania poa

Magresheni mnadanganywa mnatoa vitabu Kwa wageni poa

Ila lindeni Tanzania, vipesa mnavyopewa vinaweza kuingamiza Tanzania. Hao wanaoghushi awaitakiii mema Tanzania watailipua tuilinde. Hasa ninyi viongozi mnaosimamia utoaji WA Pasipoti. South inateketea Kwa kuwa na Wana rushwa kama Tz. Chukieni hii piteni kariakoo, kagueni wafanyabiasha wa Kigeni mtagundua TRA Wana NI wageni Uhamiaji ni Watanzania.

Unganisheni system zenu mtagundua uozo uliopo
Mkuu., Zipo kadi za NIDA za aina mbili..

1.Kadi kwa raia (CITIZENSHIP CARD). Hii inatolewa bure kwa kila Mtanzania mwenye sifa stahiki.

2.Kadi kwa mgeni mkazi(LEGAL RESIDENCY CARD). Hii inatolewa kwa mhusika kwa malipo maalum kabisa katika mfumo rasmi wa NIDA.
 
Mkuu utakufa na stress zako bure tafuta pesa usomeshe wanao, hii nchi sio yako ina wenyewe, tulishawahi kutawaliwa na mkimbizi na viongozi wa juu wapo wengi ni wakimbizi wana nguvu hata kuliko babu yako.
Umeniumiza sana!
Yaani kile ambacho mimi kwa mawazo yangu nilikuwa nadhani kuwa ni hisia zangu tu za kijinga, wewe umeki-confirm kwa kunijulisha kuwa hisia zangu si za kijinga bali ni ukweli! Umeniumiza sana
 
Sheria zipo na kila nchi zina taratibu zake
Kuna nchi huwezi kupata Uraia hata uishi miaka 100 au izaliwe huko
Na kuna nchi ukikaa miaka 7 tu unapata Uraia

Wewe washangaa kadi kuna watu wana silaha za moto kwa mujibu wa sheria za nchi wanaruhusiwa huku wengine wakiwa na Resident permits tu hata sio passport wala NIDA

Watu wengi hawajui maisha yanavyokwenda duniani
Mtu anasema ooh nchi yetu usalama wake uko hatarini [emoji1] [emoji1787]
Kwa lipi mnafikiri intelligence imelala?

Basi Rishi na Suella na Sadiq Khan wasingepewa post kubwa hivyo mpaka PM,waziri wa mambo ya ndani na Mayor wa jiji la London

Hatuna hata kiwanda cha toothpicks halafu tunalia na usalama

Watu wamekuja kuchuma hela na kupambana nani ana shida na mambo ya siasa uchwara
 
Naona unajichanganya mtu akipata passport ya Tanzania sio tena raia wa nje. Maana yake ameomba uraia na kupewa kisheria. Hivyo sio kitu cha ajabu mtu kuanza kama mgeni na kuomba uraia. Waomba uraia sio wakimbizi tu.
Hivi unafahamu prosese za mtu kupewa urai au unajilopokea tu, maana wabongo kila kitu wanajua
 
Mnaofahamu tusaidieni utaratibu wa kupata kitambulisho cha NIDA na Pasipoti incase hata wageni wanaruhusiwa kupata.

Kuna wageni wanafanya biashara na kuajiriwa hapa nchini awali walikuwa na Pasipoti za Kigeni lakini siku hizi Wana Pasipoti za Tanzania kwenye makampuni Yale Yale na TRA taarifa za awali zinasoma ni RAIA WA Somalia, Kenya ,Uganda, Yemen , Msumbiji nk

Hawa watu wanapataje uraia mbona tukienda kwao Pasipoti hatupewi kirahisi? Viongozi waliopewa dhamana yakulinda ajira zetu wazawa wanafanya kazi yao inavyotakiwa?

Je, maafisa wa chini wanaweza kutoa NIDA au cheti cha kuzaliwa au Pasipoti Kwa mgeni Bila wakubwa kujua? Mgeni anawezaje kuwa na kuzaliwa nje ya nchi lakini kwenye Pasipoti anaandikwa amezaliwa Tanzania?

Kwa hali inavyotokea sasa ya makundi ya kigaidi upo uwezekano viongozi wanaotoa vyeti vya kuzaliwa, NIDA na pasipoti wakawa wanatumika kutengeneza documents za kugushi kuwapatia Pasipoti wageni wajiunge na maaramia kwenye vikundi vilivyopo mataifa jirani.

Mimi nadhani eneo hili liangaliwe upya kuna shida na kama mamlaka zinazohusika hazijajua basi watambue wageni wengi Sana wanashirikiana na viongozi kupata Pasipoti yetu.

Nimeandika Uzi huu baada ya kuona Tanzania tumeanza kuwasaidia Diaspora kupata Pasipoti kupitia balozi zetu. Huku nje ya nchi sina shida, napata shida na viongozi waliopo huko bongo hasa kurasini ambao tukienda Sisi wanataka Hadi vyeti vya kusoma PhD ila wakienda watu wenye rangi rangi na umate umate wanapita moja Kwa moja kwenda Kwa wakubwa hata foloni hakuna kupanga kudadeki.....

Mwamba unamjua kabisa huyu tumesikia naye south akiwa raia WA Somali mkombizi ila akishajichanga anaenda Kwa wadosi bongo kurasini asubuhi jioni anakitabu........

Wengine wapo hapo Zambia wamekaa wakizaa Tu wanaipeleka watoto bongo wakachukie Pasipoti......huu ni upumbavu mnatufanyia Sisi weusi wenzenu ila nawaapia mnatengeneza bomu msipokubali kubadilika.

Hizo pesa walizonazo hawa wageni za kuwa na Pasipoti na hata mkiwakamata wamedanganya mnawaomba waondoke taratibu zitawatokea puani one day..

Sisi huku nje tunavyoteseka kukaguliwa hatuna hamu kabisa.....kisa kuna wanigeria na wasomali wachache Wana Pasipoti zetu kimagumashi wanatunyima Amani airport za watu tunaonekana wote kanjanja Tu.

NIDA weusi tuna namba wenye rangi mnawapa vitambulisho poa

Watu wa vyeti vya kuzaliwa watoto wetu vyeti kupata shida ila vya wageni mnatoa tena kwakuwafanya wazaliwe Tanzania wakati siyo wazaliwa wa Tanzania poa

Magresheni mnadanganywa mnatoa vitabu Kwa wageni poa

Ila lindeni Tanzania, vipesa mnavyopewa vinaweza kuingamiza Tanzania. Hao wanaoghushi awaitakiii mema Tanzania watailipua tuilinde. Hasa ninyi viongozi mnaosimamia utoaji WA Pasipoti. South inateketea Kwa kuwa na Wana rushwa kama Tz. Chukieni hii piteni kariakoo, kagueni wafanyabiasha wa Kigeni mtagundua TRA Wana NI wageni Uhamiaji ni Watanzania.

Unganisheni system zenu mtagundua uozo uliopo
Watoto wa Mbowe na Lissu ni raia wa marekani, lakini Wana vitambulisho vya taifa vya Tanzania na passport za Tanzania
 
Hivi unafahamu prosese za mtu kupewa urai au unajilopokea tu, maana wabongo kila kitu wanajua

Vijana wa siku hizi wajinga jinga mimi nimeanza kwenda US 1997 mpala leo sijui utaratibu wa Uraia wa Tanzania?
 
Back
Top Bottom